AU SIOHabari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Umenichora nini maana nimetoka kumsindikiza nakuja naona uzi tayariNdio Mkuu.
Sawa tatizo ladha ile ile jau inabidi kuonja na viingineAcha hiyo Tabia Mkuu.
Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Kuna mifano mizuri na mifano mibaya kwenye jamii na yote ipo ili waja wajifunze,ni mtu kuamua ni aina gani ya mfano kwenye jamii anataka kuwa..NB:Mifano yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii kwa hiyo acha waishi walivyochagua na wewe ishi ulivyochaguaKabisa Mkuu, unakuta mtu amezungukwa na wapangaji wenye familia zao lakini bado anaingia wanawake kilasiku.
NI TABIA MBAYA SANA.
Wapo wa kupeleka guest ukiachilia mbali wale wa kwenye Arena Ila Kuna Hawa wengine hawataki kwenda guest inabidi niwale humu humuNenda Guest Mkuu, ni bora utoe 10,000 ya chumba Lodge kuliko kujiharibia kwa watu kuingiza mademu ndani.
Upo sahihi, ila huu ni Ushari tu.Kuna mifano mizuri na mifano mibaya kwenye jamii na yote ipo ili waja wajifunze,ni mtu kuamua ni aina gani ya mfano kwenye jamii anataka kuwa..NB:Mifano yote ni muhimu kwa ustawi wa jamii kwa hiyo acha waishi walivyochagua na wewe ishi ulivyochagua
Kila la kheri Mkuu.Wapo wa kupeleka guest ukiachilia mbali wale wa kwenye Arena Ila Kuna Hawa wengine hawataki kwenda guest inabidi niwale humu humu
Ila samahani jirani kama nimekuudhi nitajitahidi kupunguza idadi ya nyumbu
Wewe wa kwako unawalia wapiKila la kheri Mkuu.
MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO.