Ongezea hiyo hela ya nauli tudiscussme nna 70bro
Asante mkuu, karibu sanaUmeanza na approach nzuri kweli mkuu.
Asante mkuu. Tuma mtuHeri biashara zilizonyooka namna hii kuliko upuuzi wa Forex.
Mkuu tangaza,uza bidhaa yako upate kipato chako halali!
Nataka kuagiza ila ndio sitaki kujuana na mtu yeyote wa JF!
Im thinking a way.Still thinking.....
Kuna version ambayo ni anti-cut, vilevile material yake ni ngumu. Njoo ujioneeWabongo sa ngapi hawajapitisha wembe
Mbona yanauzwa 40000 /=
Acha wivu na upumbavu uliokuganda kichwani.jamaa anauza bei nzuri tu.Yani hapa bado hujalisafirisha hadi huku bongo.Utakua mchawi tu sio bure.Mbona yanauzwa 40000 /=
Asante mkuu kwa kurealize hilo, mengine tunapotezea tu na ku-move forward na yenye maendeleo zaidiAcha uongo.. Si u google tu utaona bei zake.. $ 28 - $ 39.50
So kwa tshs 70,000 ni bei ya kawaida kabisa.. Sio kwamba anauza ghali, ni sawa