Acha kubisha undugu siyo hadi mshee damu

Acha kubisha undugu siyo hadi mshee damu

kikwete na membe ni ndugu coz wote wamewah kuwa mawazir wa mambo ya nje ya nchi na wote wanafanana sura.
 
Jk, King Majuto, JB, Wolper, Jangua na Mzee small ni ndugu coz wote ni Watanzania
 
pakajimmy na pakashume ni ndugu coz wote ni nyau
 
Back
Top Bottom