Acha kubisha undugu siyo hadi mshee damu

Acha kubisha undugu siyo hadi mshee damu

aduwilly

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
1,191
Reaction score
320
Usibishe...

1. Serukamba (mb) na Lusinde (mb) ni ndugu coz wote wanatukana popote pale

2. JK na Vasco Dagama ni ndugu coz wote wameenda kila part ya dunia

3. Osama na Lwakatare ni ndugu coz watu wanatuhumiwa kuwa magaidi

4. Bi Kidude na Wassira (mb) ni ndugu (sijui kwa nini)

5. Bakressa na Abromovich ni ndugu coz wote wanamiliki team za mpira wa miguu

6. Maalim Seif na Lipumba ni ndugu coz wote wamegombea urais awamu 4 na wamekosa

7. Kinana na Rage ni ndugu coz wote ni wasomali

8. Tenga na Blatter ni ndugu coz wote ni marais wa vyama vya soka wanaolalamikiwa kutumia nyadhifa zao kwa manufaa yao badala ya soka

9. Ulimboka na Kibanda ni ndugu wote coz wote wamenyofolewa kucha na meno bila ganzi

10. Daktali wa vichaa na kichaa ni ndugu coz wote wapo Mirembe
 
Lowassa na Rostam, Chenge, Karamagi ni ndugu coz wote ni ......................(i mean wanasiasa)
 
Sokoine na Chacha Wangwe ni ndugu coz wote walikufa kwa ajali ya gari
 
Kolimba na Dr Omar Ally Juma ni ndugu coz wote walikufa vifo vyenye utata
 
Muslim n christian hata wao ndugu coz wanamin uwepo wa mungu mmoja.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Savimbi na moi ni ndugu since wote hawana uwezo wa kufukuza nyani shambani
 
Back
Top Bottom