Acha kabisa, hawa wanawake hawa!!

Oooh kumbe maandishi unaogopa mapokezi tu?? Suala la kuchapiwa je??
 
Hakuna cha filamu mkuu, yaani ni true.

Haa amini usiamini niliwahi kuiona hiyo unayoongelea (copy paste) kwenye hii michezo ya kiswahili kwenye miaka ya tisini hivi. Nilidhani ni maigizo tu kumbe huwa vinatokea kweli!
 
Mkuu vile nilikiona live hiki kitendo yaani nimeathirika kisaikolojia kiasi kwamba nikigonga
mlangoni na pakichelewa kufunguliwa sisimami katikati huwa nasimama pembeni.
Hahahahahh pole utakuwa unasimama mita mia
 
Duu kwa technic hatutoki, au labda tufunge cctv camera.
 
"wote tulikuwa wahuni, wanawake watatu na mimi mwenyewe." Haahaaaa...
 
"wote tulikuwa wahuni, wanawake watatu na mimi mwenyewe." Haahaaaa...
Ni kiswahili tu, mtu ambaye hajaoa anaitwa Muhuni kimtaamtaa anaitwa "MSELA"
 
Haaaa, saa hzi ntakuwa nkigonga mlango om nakaa katkat ya mlango kama dk kumi,
Kumchanganya adui kama yupo, apo ata nifunikwe na pipa stoki
 
Huyo ilikuwa 40 yake bado... siku 40 ikifika hata uzime umeme...
 
Ungemshitua mwanaume mwenzio bhana tamu yake inaliwa.


amesema wote walikua wahuni....hamna mwenye tamu weweee....ukioma dodo ukapea kula....my self kuna wawili wiki hiki inabidi niwakune...wote wameolewa
 
Umekosea kidogo kudanganya. huyo mwanamke alijuaje kuwa mumewe ndiyo anagonga mlango.
 
Mkuu vile nilikiona live hiki kitendo yaani nimeathirika kisaikolojia kiasi kwamba nikigonga
mlangoni na pakichelewa kufunguliwa sisimami katikati huwa nasimama pembeni.
Hapo ukiingia unachek mpk kwny masufuria kuhakikisha hkn muhujumu uchumi.....
 
Kumbe kuna majipu kila sekta.
 
Hahahaaa...wanawake ni shidaa tuwen tu makini nao nw dats mapenz ni hatari sn
hata sisi wanaume ni shida pia .... nilimgegeda mke wa mtu seven days tukiwa hotelini .....
vituko alivyokuwa akifanya huyo mmama hakika vinanifanya nisiwaamini wanawake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…