M miri Member Joined Apr 26, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Mar 10, 2014 #1 Habari wana JF, ivi hawa Acess Bank wameanza kuita watu kwenye usaili? Mwenye tarfa tujuzane jamani.
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,297 Mar 10, 2014 #2 acha pupa
M musubati JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 217 Reaction score 60 Mar 10, 2014 #3 Deadline tar 10 march
M miri Member Joined Apr 26, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Mar 10, 2014 Thread starter #4 TEMBO WANGU said: acha pupa Click to expand... kuulza si ujnga jaman
M MKUNGUPAE Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Mar 10, 2014 #5 Deadline bado unauliza usaili, bila shaka bado....
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 886 Reaction score 382 Mar 11, 2014 #6 kati ya bank ambazo hazijal wafanyakazi. kazi tembo mshahara sisimizi
chief bazoka Member Joined Jan 31, 2014 Posts 97 Reaction score 22 Mar 11, 2014 #7 Prince Akeem said: kati ya bank ambazo hazijal wafanyakazi. kazi tembo mshahara sisimizi Click to expand... Bora kazi kuliko kukosa kazi walio apply wengi wanalitambua hilo mkuu
Prince Akeem said: kati ya bank ambazo hazijal wafanyakazi. kazi tembo mshahara sisimizi Click to expand... Bora kazi kuliko kukosa kazi walio apply wengi wanalitambua hilo mkuu