Kaka unapouza kitu usilinganishe na kuwa sehemu fulani inauzwa kiasi gani sababu kwa mfano pale Mlimani vitu vingine vinauzwa bei kubwa kuliko ukienda city centre au kariakoo na hata pale Game kunakuwa siku zingine vitu vinakuwa poa hasa kama ni siku ya promo,lakini siku zinngine utakuta bei iko juu kuliko town,
Hatahivyo unatakiwa kutaja na model kama ni A500,A300,A200 n.k kwani unapotangaza kitu usimfanye meja ahangaike.
Hayo ni maoni yangu tu kama mdau wa jukwaa