Sio laptop but ni Net book of its sort 11.6 screen size, mara nyingi netbook zina screen size ya 10 or less, ni acer-Aspire one 722, ina 4GB DDR3 Memory, ina 500GB HDD ni AMD duo core PROCESSOR C60 with Turbo CORE technology up to 1.33.
Processor hii ni very powerful than Atom Processor ambayo most of Netbook inakuja na processor za Atom. Bei yake ni dola $350 au shs 630,000 za Kitanzania. It is a very good design little machine suitable for people who like to travel with less lugggage etc.
Kama kuna anayehitaji nijulishe haraka kwani zipo kwenye sale kwa sasa at costco.com na mimi nipo nje kikazi na nimejipatia moja nikaona niwajulishe na washirika zangu ninyi kama kuna anayehitaji. Ninarudi nchini end of this week, so hurry up. Inakuja na warranty ya 2 years pia, very incredible!!
Oh sorry ilibidi niahirishe safari nitinge north Carolina kwenda kwenye msiba wa mama mmoja Mtanzania. Narudi Newyork kesho na nitakwenda Costco nione Kama Bado zipo. Haina DVD ni very portable little machine. Ni pm tena Kama Bado unaitajiMkuu ina dvd writer? Wireless charge vp iko fresh? Nimekupm tuongee,vp bei inaweza kushuka kidogo?
Oh sorry ilibidi niahirishe safari nitinge north Carolina kwenda kwenye msiba wa mama mmoja Mtanzania. Narudi Newyork kesho na nitakwenda Costco nione Kama Bado zipo. Haina DVD ni very portable little machine. Ni pm tena Kama Bado unaitaji
Kaka si kakwambia haina DVD,nimeona netbook zinakuwaa havina DVD rom,ukitaka google utaiona vizuri ilivyo,haina tundu la kuingizia CD/DVD hope umeelewa kwa lugha yetu sisi vihiyo wa mambo ya kompyuvp betri yake inatunza chaji? Ni cd rewriter au? Do you mean haisomi dvd? Bado nahitaj mkuu ile bei ipungue kidogo
mkuu mbona processor speed ndogo sana @ 1.33GHz, fanya laki 5 tufanye biashara fasta,,,Sio laptop but ni Net book of its sort 11.6 screen size, mara nyingi netbook zina screen size ya 10 or less, ni acer-Aspire one 722, ina 4GB DDR3 Memory, ina 500GB HDD ni AMD duo core PROCESSOR C60 with Turbo CORE technology up to 1.33.
Processor hii ni very powerful than Atom Processor ambayo most of Netbook inakuja na processor za Atom. Bei yake ni dola $350 au shs 630,000 za Kitanzania. It is a very good design little machine suitable for people who like to travel with less lugggage etc.
Kama kuna anayehitaji nijulishe haraka kwani zipo kwenye sale kwa sasa at costco.com na mimi nipo nje kikazi na nimejipatia moja nikaona niwajulishe na washirika zangu ninyi kama kuna anayehitaji. Ninarudi nchini end of this week, so hurry up. Inakuja na warranty ya 2 years pia, very incredible!!
vp betri yake inatunza chaji? Ni cd rewriter au? Do you mean haisomi dvd? Bado nahitaj mkuu ile bei ipungue kidogo
mara nying zinatunza charge zaidi ya masaa mawil hadi matatu,dvd inabidi ukanunue external dvd rom zipo town aizidi laki 1 nyembamba kama kasha la cd za sony.acer is best motherboard zake imara sana nunua mkuu
Kaka si kakwambia haina DVD,nimeona netbook zinakuwaa havina DVD rom,ukitaka google utaiona vizuri ilivyo,haina tundu la kuingizia CD/DVD hope umeelewa kwa lugha yetu sisi vihiyo wa mambo ya kompyu

sikuiz ni mambo ya tekinologia cd azitumiki sana ni flash/internet unanyonya unasave tena ina 500gb labda ujaze kwa movie bt kama ni data tu utaipigia mzigo sana.kuhusu betr kunanyingne inakaa hata zaidi ya masaa matatu hadi 4au 5 lakini kuna betr 6cell ihi inapga mzigo masaa 11 tatizo azipatikani kwa urahisi na bei uwa inakuwa juu kidogo.NB Ukitumia laptop katka kuandika charge inadumu kwa muda lakini ukitumia kwa kusikilza nyimbo au kucheck movie charge inakwisha haraka.sasa ukinunua external dvd,badala ya kuwa portable si inakuwa mzigo tena au?
sikuiz ni mambo ya tekinologia cd azitumiki sana ni flash/internet unanyonya unasave tena ina 500gb labda ujaze kwa movie bt kama ni data tu utaipigia mzigo sana.kuhusu betr kunanyingne inakaa hata zaidi ya masaa matatu hadi 4au 5 lakini kuna betr 6cell ihi inapga mzigo masaa 11 tatizo azipatikani kwa urahisi na bei uwa inakuwa juu kidogo.NB Ukitumia laptop katka kuandika charge inadumu kwa muda lakini ukitumia kwa kusikilza nyimbo au kucheck movie charge inakwisha haraka.
Heh kumbe kuna watu bado mna watch movie(?/paste©)za mpiga ngoma kanumbaSasa nikitaka kuwatch movie za kanumba inakuaje tena? Itaninyima raha,aah!
Heh kumbe kuna watu bado mna watch movie(?/paste©)za mpiga ngoma kanumba
Kaka si kakwambia haina DVD,nimeona netbook zinakuwaa havina DVD rom,ukitaka google utaiona vizuri ilivyo,haina tundu la kuingizia CD/DVD hope umeelewa kwa lugha yetu sisi vihiyo wa mambo ya kompyu
Mkuu kuelezea mtu mpaka akaelewa inahitaji kipaji.
Maana unaweza ukaulizwa je kama kama haina tundu nikilitoboa sasa ili niweke DVD Rom?