Accusations against mobile phone companies shocking


Wizi mkubwa, hii nchi ni uwanja wa kujifunzia kuiba hadharani. Naamini waziri mhusika atalishughulikia hili swala.
 
Wizi mkubwa, hii nchi ni uwanja wa kujifunzia kuiba hadharani. Naamini waziri mhusika atalishughulikia hili swala.

Siku chache zilizopita TCRA walitoa tangazo la tender kwenywe magazeti, wanataka kufunga kifaa cha ku-monitor simu kwenye haya makampuni. Kama hawatazuiliwa basi kodi itapatikana lakini ccm na ufisadi tusishngae mchakato wa kufunga hicho kifaa ukachukua miaka 10 au kufutwa kabisa.
 
 

Mwandiga,
Hunijui na mimi sikujui, hivyo hakukuwa na sababu ya kunitukana. Ulichotakiwa kufanya ni kutoa hoja kupinga hoja zangu, kama ambavyo wengine walivyofanya. Hoja hujibiwa na hoja, hoja haijibiwi na matusi au ngumi ukishafika huko ni kiashiria tosha kuwa hoja ya kukinza hoja ya mwenzio.

Zingatia, humu ndani tumepishana sana umri hivyo heshima na staha ni kitu muhimu sana, Kama huwezi kuwa na breki katika mawazo yako sio lazima uandike, kaa kimya utaonekana mwenye busara sana. Kama wewe unalala na pampers wengine hata watoto wetu hawakulala na pampers. Matusi na utani Peleka kwa watoto wenzio.

Tukirudi kwenye hoja zako, unasema ameandika ili umma na watanzania wajue, swali linakuja umma na watanzania tukijua itakuwa Nini mwisho wa siku? Sisi hata tukijua hakuna kitu ambacho tunaweza kufanya. Mwajiri wake ambaye alimteua Ndio mwenye uwezo juu ya taasisi zote zinazoweza kushughulikia mambo hayo, wananchi hawawezi kufanya chochote.

Amethubutu kufanya kitu amabacho hakuna aliyefanya, hii hoja haina nguvu kabisa, wengine wote hawajafanya kwa sababu sio sehemu ya kazi wa waziri kulalamika gazetini, waziri ni msaidizi wa raisi angeenda kwa raisi kumwambia Kama ambavyo wengine wote wamekua wakifanya. Kosa moja la huyu bwana usitake liwe precedent kwa Mawaziri na manaaibu waziri wasiojua utaratibu wa kazi.

Ina maana kwa sababu hachangii bungeni na kwa sababu haingii kwenye Baraza la mawaziri basi kila kitu aseme ili " WATANZANIA WAMSIKIE". Kwa hiyo tatizo lako ni kuwa umma umsikie!!!!!!!

Sasa umeeleweka, suala ni PUBLICITY STINT na sio uchungu wa nchi.
 

mwandiga, ninatofuatiana na wewe sana, hasa pale unaposema kuwa naibu waziri kaandika ili watanzania wajue! Sijui umekuwa unafuatilia hii topic ya telecom firms kwa muda gani? Hapa JF kwenyewe watu wameandika sana tena sana kuhusu wizi unaofanyika. Bungeni nako wabunge wamepiga kelele sana kuhusu ukwepaji wa kodi. Tafuta Hansard za bunge utakuta michango toka kwa Zungu, Zitto etc. Hakuna jipya aliloandika hapa huyu naibu waziri zaidi ya ku-compile notes za watu mbalimbali.

But Naibu waziri yuko serikalini, yuko kwenye executive branch, kazi yake anatakiwa kuandaa sera na kuzitekeleza, he is supposed to 'execute' na sio kujigeuza mwanahabari. Yeye ni naibu waziri for god sake! Soma vizuri article yake anasema ana "authontic and reliable data" toka TCRA. Sasa kama na data za uhakika wajibu wake ni kuandika makala kwenye magezeti? Yeye ni publicity au ni part of the executive branch?

Haya, tukubali hoja yako kwa ameandika ili "watanzania na umma kwa ujumla wake wajue nchi yetu ilipo, na madudu inayofanya", Watanzania wakishajua then what? Hivi ni kweli watanzania hawajui hicho alichosema kwenye article yake? (refer hansard za bunge). List ya walipa kodi - top 15 for the last 5 years imekuwa inajadiliwa hapa jamvini since last July, sasa leo kuna nini jipya? amegundua what?

Kuhusu huu ukwepaji kodi TCRA wametangaza tenda kwa makampuni yenye uwezo wa kufunga kifaa ili waweze com-monitor upigaji simu toka kwa haya makampuni. Naibu waziri anatakiwa kusimamia hilo haraka ili nchi isiendelee kupoteza mapato. Na huo muda anaotumia kuandika makala kama PR angeutumia kuwasiliana na office ya mwanasheria mkuu ili hizo "authentic and reliable data" kuhusu ukwepaji wa kodi zipitiwe na kuandaa kesi ya kuliibia taifa. Hayo ndiyo mambo nategemea toka kwa waziri/naibu waziri yoyote na sio makala. Mambo ya makala Kubenea anafanya vizuri sana.
 
Presidency may be!
A company under his ministry and he writes a commentary in the newspaper, is that perform his duties. What is it that he wants to achieve?

Publicity stint?

For what reason?
 
Shame,how come VODACOM miss out in list?! Hata Bakhresa hayupo? Now we real real need a new system with new people and ofcourse new party.
 
BAK, I am at a loss. Why the hell should he publish the revelation in the newspaper?

Has he forgotten that he is the deputy Minister?

Or maybe he doesnt know the scope of his duties.
it seems you are either a direct benefactor of these companies or you are the one who signed these silly agreements.what the Depute did is to try let the public know what is happening in these mobile phone companies and in fact to be the depute minister does not mean is robbed his freedom of speech.
 
It does not add up. The list given here of major taxpayers states that Airtel paid shillings 63 billion in taxes last year. How can that square with the ministerial claim that all mobile phone companies together paid only shillings 2.7 billion?

If a single company paid 63 bill/- last year but all companies together paid only 2.7 bill/- the year before, then they are stealing us blind. No wonder they all want to have CCM bigwigs on their boards!

 
Sasa Chadema wakichukuwa Nchi wakianza kukusanya Kodi kwa Umakini ndio tutaanza kuona maendeleo ya ajabu sasa kwanini bei ya Cement na bati isishuke kama kodi yote itakuwa inakusanywa hilo ndio jibu la slaa
 
The deputy Minister should take the mobile phone to task through TCRA.What did he want to achieve by publishing the article anyway. He should take action and publish the results of his action and not complain about them phone company
 

NN,

I agree with you! Blowing this mess in this way was supposed to be from Opposition, blowing to the public, and let the government investigate or taking action. I expected more from him, like proposing stern action to the president to make sure TRA is going extra miles in Tax collection!

To me with this, its more like seeking attention from the public!! Shiiit...
 
Hili nilitegeea TRA to audit the books on the next day, sunctions and penalties to be laid upon on the next week. Where are the applicable INCOME TAX ACT 2004, as revised?. Haya mambo twayasoma tu vyuoni ila TAX commissioners have no say on it.

NIKUSHANGAZE? Ni nani alishapata TRA receipt (VAT) kutoka HOME SHOPPING CENTRE? Huu pia ni myanya wa hayo wayafanyayo makampuni ya simu. Au they are not registered for VAT, I mean return ni below 40MIL per annual? Wako wengi nhapo sijagusa wanaomiliki vitabu vi3 vya risiti.....
 
Ours is the country where everyone has at least one person to put blame upon. Look how it goes: MPs blame ministers for performance inefficiency and funds embezzlement, ministers blame the opposition for becoming too faultfinding, the opposition blames the president for carefreeness, the president blames God for scarcity of rain and the consequent paucity of water in TANESCO dams. The newly appointed January now joins an endless list of faultfinders by hitting out at telecommunication firms. If our leaders devoted the enormous amount of calories they waste on inventing allegations and building criticism to seriously working hard for the profit of the nation, this country would really be on a par with the likes of Botswana and Rwanda.
 
But this is not NEW! Some MPs have been talking about this issue for a while. TCRA is acting so slowly and TRA is not even interested (maybe it is!). My expectation is that MPs will refuse to approve next year's budget for Communications, Science and Technology Ministry if it doesn't come with bold measures to address the issue. And measures to be taken are straightforward: (i) immediately install telecommunication traffic monitoring system (if there is one, it's not doing what is supposed to be done) and (ii) compute/estimate all unpaid tax (since the start of operation) + penalty and make the tax evading mobile companies pay. (iii) issue an ultimatum that if anyone gets caught evading tax again, the licenses will be automatically revoked, no matter the consequences. Send all respopnsible to jail.
 

Mnashangaa nini GGM Geita Gold Mine ni mgodi mkubwa kuliko migodi yote Tanzania na pia ni mgondi wa NNE kwa ukubwa Afrika lakini haumo kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa.

Resolute Tanzania (L) ni mgodi wa pili wa dhahabu kwa udogo after Tulawaka, lakini wame kwenye orodha ya walipa kodi wakubwa, migodi mikubwa kama North Mara aka Nyamongo, Bulyahulu aka Kakola, Buzwagi etc hawamo katika walipa kodi wakubwa.

ONLY mpumbavu atasema kwamba Tanzania ni nchi masikini. Ukweli ni kwamba Tanzania ni nchi masikini kwasababu viongozi wetu wa CCM wanataka sisi tuwe masikini. Lakini leo wakisema hawataki Watanzania tuwe masikini sisi SIO masikini Jamani.
 
Somebody said somewhere hii ni nchi ya kitu kidogo, was he or she right or wrong? it is for you to digest.
 
Makamba is right for blowing the whisle regarding the matter so that the public is aware of what is going on. ila kwa sababu serikali yetu pamoja na TRA wamelala pamoja na kupewa peanuts amount kutoka kwa makampuni ya simu huku wakiingizia taifa hasara kubwa, watanyamaza kimya kama kawaida yao
HII NCHI INAHITAJI KUKOMBOLEWA JAMANI NA WATU WA KUIKOMBOA NI SISI VIJANA. TUHAMASISHANE SISI KWA SISI TUIKATAE CCM MCHANA KWEUPE NA TUJIANDIKISHE KWA WINGI KUPIGA KURA 2015 KUWAANGUSHA KUPE WA RASILIMALI ZETU.
THE FREEDOM IS COOOOOOOMING!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tanzania is a country where everybody complains about problems the country is facing...everybody complains but nobody takes action....starting from the president....his ministers.....and all Tanzanians....What is left of Tanzanians is for everybody to just take care of his/her own problems....What you all fail to understand is that these government ministers take 10% from these very telecom companies (just as they do with mining companies)...so don't expect action from them...you will always end up seeing them complaining in the media (e.g news papers or TV)..just to fool Tanzanians that they are doing something.....very sad....
 
Jamani, Mwl once said, a corrupt government does not collect tax. this gvnt has never been serious. it appriciates begging.

the boy- i mean the minister is still naive in the area, you will soon hear him no more. the big fish never pay tax here, only poor civil servants on this land, pay high taxes, as well as the machinga.

what should we do?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…