Habari wanaJF!!
Poleni na majukumu ya kutwa nzima ya leo,!!! Nina ombi moja tu kwa aliye na accounting packages zifuatazo (Ukipata hata 2 au moja sio mbaya) Tally 9.2,Quick Books Pro 2012 au 2013 na Pastel latest version unaweza ukaniPM au comment tu hapa hapa tutajua namna ya kuwasiliana.
Asanteni na usiku mwema.