Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Vyote
hiyo labda inaacha possibilities mingi, na mtoa mada amepita humo humoHome - CRDB Bank
Domain name ya web yao na hiyo address uliyoweka vinatofautiana, nilitegemea email iwe "labda" jobs@crdb-bank.co.tz
Hivi kwa nini hakuwataja wanyaki au wale ni siri?kwanza sijawhi kusikisa hiyo benki inatangaza nafasi, na nadhani sifa kuu ya kwanza ni kuwa mangi
Na wagala !wachagga kazi kwenu
Inadaiwa hata email address siyo ! ....kuna dalili wajanja Wametupia 'nyavu' !Mbona hakuna hata vigezo, na masharti, hivi tangazo liko sawa kweli???
.....ni kweli moja ya kigezo wanachokosa ni huo uchagga !
Ndio maana yake, wachagga wanasoma peke yao, na ndo maana wanavigezo vya TRA, Bandari, Hazina, CRDB, BoT !Tatizo shule hampendi halafu mnaishia kulaumu Wachagga.Iyo inaitwa Inferiority Effect.
Proudly kuwa Mchagga.