Account ya Netflix

Account ya Netflix

nicolas150

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
26
Reaction score
15
Habari wakubwa kwa anaweza niuzia account ya Netflix ani contact kwa namba hii #0768817939
download.jpeg.jpeg
 
Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
 
Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
Kama ni Master card ya voda,ilink na paypal,halafu tumia paypal kulipia,,,,
 
Boss wangu mpaka nafikia hatua hii ni kwamba payment methods zangu zote zimenisumbua kwa zaidi ya mwezi sasa
Nenda bank kama Stan Chart, FNB fungua account, wakupe Visa Card. Weka hela.

Fungua account, weka details za account yako, you are good to go.

Mtu akikuuzia account, atatoa kadi yake, kazi inakuwa sawa na bure.
 
Hazihuziki...

Nikikuuzia account yangu means nakuuzia with my personal details za malipo...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom