Habari, niko mwaka wa 3 jina langu la kupata fedha kwa ajili ya chakula na malazi halijakuja chuoni. Sio peke yngu wako wengine baadhi lakini tatizo ni supplementary nilokuwa nayo lakini nimesha clear. Je kwa mwenye ufahamu pesa zetu tunapata au ndo mwisho? Niko mwaka wa mwisho now.
Maoni na sio matusi tafadhali.