Accessbank

Accessbank

Ren g

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
18
Reaction score
1
Accessbank wameanza kuita usaili mwanza je bado wanaita au ndo wameisham,aliza? Kwa usahili wa tarehe 2 mwanza? Msaada plz
 
Naulza kama wameishaanza kuita kwa post ya fild officer
 
Wameanza make sure unakuwepo kwa hewa full time
 
Duh, kazi kweli kweli, sasa hii inakua vp kama mtu unatoka dar, si sawa na kuambiwa tu, mtu usiende?, wadau hebu niambieni wenye uzoefu wa hizi mambo, nijitoe ufahamu au nipotezee? Nipo njia panda hapa.
 
ndo mana uliambiwa km uko mbali na kanda ya ziwa ucapply coz nauli kubwa ucende vp c umeomba mwenyewe tumia akili
 
WADAU VP NAFASI ZILE ZA DAR WASHAITA INTERVIEW au ndo wameanza kazi maana hii nchi hatari
 
Hawa jamaa hawatak kuita loan officer au ndo walikuwa wanazuga, usikute watu walishaanza kaz cku nyingi
 
This is ----**** job it is like aloevera style but hii inakua ni katika bank,kitu ninacholaaani ni kwa nini wanafanya watu wanakua kama cheap Labour........?dah!complication kibao mwisho wa siku ukija elekezwa kazi yenyewe ya kifala!full kuzunguka kitaa kutafuta wateja wa kukopa! Wasiseme loan offiser waseme tu consultant bhana na ni kama wa. Bayport,B blue au faidika yaaani!mtu unazunguka kila kona ya mji kutafuta wateja wa kukopa!yaaani if u think it iz job ya kukaa imekula kwako!ujue hata ndan ya offisi unaingia saa 2 unasaini unasepa afu jion unaludi! In short u pay according to how much umekopesha watu......komaeni madogo!
 
Hawa jamaa hawatak kuita loan officer au ndo walikuwa wanazuga, usikute watu walishaanza kaz cku nyingi

mkuu mbona unalalamika sana,usaili unaendelea kesho ndiyo fina interview ya3.
 
This is ----**** job it is like aloevera style but hii inakua ni katika bank,kitu ninacholaaani ni kwa nini wanafanya watu wanakua kama cheap Labour........?dah!complication kibao mwisho wa siku ukija elekezwa kazi yenyewe ya kifala!full kuzunguka kitaa kutafuta wateja wa kukopa! Wasiseme loan offiser waseme tu consultant bhana na ni kama wa. Bayport,B blue au faidika yaaani!mtu unazunguka kila kona ya mji kutafuta wateja wa kukopa!yaaani if u think it iz job ya kukaa imekula kwako!ujue hata ndan ya offisi unaingia saa 2 unasaini unasepa afu jion unaludi! In short u pay according to how much umekopesha watu......komaeni madogo!

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:

This is reality,hawajakosea kutangaza kazi,ila wanakosea wanapo fanya inshu inakua very comlicated kana kwamba inakuwa kama mtu unaenda kuwa branch manager!kumbe u consaltant au salles man kwa mwamvuli wa kuitwa loan officer,duh kweli mnyonge hana haki!wanatumia unyonge wa vijana wetu wanaohangaika kutafuta ajira kuwasumbua........ushauli kwa wanaoomba! Ukipita!Nunua laison ya ngazi tatu ili isiishe mapema maana kumaliza mji si jambo la kitoto!
 
Back
Top Bottom