Hahahaaaaaaaa! Hio Loan Office nzuri saaana! Mi nilikua naitaka STANBIC PALE sema wanaiita Corporate sales wakanibania nyama walee! Ila ni bomba sanaaaa! Ukisharipoti unarudi home kulala.
Ukiwa mtoto wa mujini huwezi kukosa wateja wa chochote! Kama mikopo si unaenda sokoni tu kuongea nao wanavohaha kusaka hio mikopo! Acha hongo unzokula kuwapitishia hio mikopo. Ukiwa na akili nyingi huitaji nguvu nyingi.
ha ha ha mie nimependa stanbink tu ha ha ha ha ha ha lazima uondoke na kampuni.
On a serious note yule mbaba alikuwa anataka nikae ofisi moja nae ujue ha ha ha ha ha ha sababu siwezi kukupa i know you can figure out ila siriazi loan officer kuna transport tips,vocha achana na zile za wamama kukupa shukrani inshort mwezi mzima unauendesha bila kuguza zako.
ila kwa kampuni kama finca ni headache huoni kila leo wanaajiri loan officers,kila leo wanacha kazi wanaachishwa
kuna boss mmoja nilikuwa namwambia anipe loan officer finca alikuwa anaktaa kila siku aliniambia hiyo kazi ni headache unaweza kuvua wigi kama kichaa pia kama una ndoa inaweza kuvunjika maana stress hadi genye zinaisha zenyewe
ha ha hapo siyo tatizo kuja tatizo ni kusubiria position nzuuuri anadai loan officer ni mkanganyiko
nikweli mkuu finca wanapay good na bonus ni wera wera....sijui kila mtu anamasilai yake sema tatizo la finca ukubali kuhama hama bana mikoani...na wanapay poa sana ukiamaaHivi hamjui kuna kukua, kikwete mwenyewe alianzia ubunge. Nyerere alianzia ualimu then akapambana na kuwa Rais. Kama hutaki kuanzia chini inamaana hata juu hapakufai coz hujui CHANGAMOTO ZA CHINI.
Jamani, mbona FincA wazuri sana?
Nasikia kuwa Loan officers wana mishahara mizuri tu kuliko hizo benk nyingine.
Acheni kuiponda FINCA kwa KISHINDO.
sasa wewe kumbe umeambiwa ukae ofisini kwake upingwe na kipupwee mwanawane ungeshanga superviser wama loan officerha ha ha mie nimependa stanbink tu ha ha ha ha ha ha lazima uondoke na kampuni.
On a serious note yule mbaba alikuwa anataka nikae ofisi moja nae ujue ha ha ha ha ha ha sababu siwezi kukupa i know you can figure out ila siriazi loan officer kuna transport tips,vocha achana na zile za wamama kukupa shukrani inshort mwezi mzima unauendesha bila kuguza zako.
ila kwa kampuni kama finca ni headache huoni kila leo wanaajiri loan officers,kila leo wanacha kazi wanaachishwa
Aisee hali inatisha. Sasa 190k mtu atahama nyumbani lini? Bado kuna nauli na uvae smart na kunukia uturi! Kweli na serikali inahesabu hizi ni ajira! Ndo maana kila mtz akiajiriwa anatafuta pa kuiba!
Aaaaah!!!!access,Loan officer wanaanza na 180,000/= ila baadae huja kuongezeka na kufikia hiyo 350,000/= bt ukianza utaanzia 180,000/=
Hahahaaaaaaaa! Hio Loan Office nzuri saaana! Mi nilikua naitaka STANBIC PALE sema wanaiita Corporate sales wakanibania nyama walee! Ila ni bomba sanaaaa! Ukisharipoti unarudi home kulala.
Ukiwa mtoto wa mujini huwezi kukosa wateja wa chochote! Kama mikopo si unaenda sokoni tu kuongea nao wanavohaha kusaka hio mikopo! Acha hongo unzokula kuwapitishia hio mikopo. Ukiwa na akili nyingi huitaji nguvu nyingi.
Acha tamaa hizo. Utafungwa muda si mrefu. Yahani wewe mzembe uripoti kisha ukalale nyumbani? We umesoma kweli? Yahani hata dhamiri yako inakushtaki. Kukopesha rasi shida kufuatilia madeni yele sasa usipoangalia unakuta umewaingiza na watu hewa we hata huko kulala utatamani tena?
Hahahaaaaaaaaaaa! MI NALALA UZURI NA ROHO HAINISUTI! Wenyewe wanavopunja mishahara na marupurupu roho inawasuta? Thubutuuuuuuuuuu!!!!!!! Ngoma drooo!
Ukiwa mtoto wa mjini huwezi kukopesha watu hewa, ama malofa! IF I HAD 8 HOURS TO CHOP DOWN A TREE, I WILL SPEND 6 HOURS SHARPENING THE AXE! Upo hapo!
,.......eti hii bank ina nn?, manaake rafiki angu ame resign na amesema bora akae nyumbani atafute kazi upya.nikimuuliza anasema stress, ss nashangaa ni stress gani hizo mpaka mtu anaona bora akae hom?Jiandae kwa stress pia mkuu