Access Bank imegawana Pesa za kampuni yangu nikiwa gerezani "Teachers and Students Forum-TZ a/c No.01241001086-67

Ndugu hio ni bank utafunguliwa kesi ya kimtandao kwa kuichafua cha msingi kusanya ushaidi wa miamala yote ya account na document zengine km receipt na T T Forms kisha mtafute mwanasheria peleka mahakaman maana isije ikawa hackers washafanya fraud na transaction decline mwisho ukaonekana ww ndio mwenye makosa na utatozwa fidia kwa kuichafua benk

Niko tayari.
 
Mambo mengine fanya "private communication" badala ya kuweka "Public". Hapa tayari unaharibu taswira (Reputation) ya bank husika kwa kujulisha umma mambo ambayo wewe na bank mngeweza malizana bila umma kufahamu Don Nalimison
We nae una ukiazi kiasi hichi, kwanini umma usijui kama kuna uozo wa hivi wengine wanajifunzia kupitia madhaifu yaliyojitokeza
 
Fuata utaratibu boss, peleka malalamiko yako kwenye dawat la huduma kwa wateja, yasipofanyiwa kaz ndan ya siku 3 peleka kwa meneja wa bank, usipopata suluhisho au usiporudhika na suluhisho muandikie au onana na mkurugenzi wa benk, usiporidhishwa na majibu au wakishindwa kukupa suluhisho ndan ya siku saba unatakiwa upeleke malalamiko yako benk kuu. Usikimbile mahakaman bila kufuata utaratibu, financial consumer protection regulation ya 2019 inatulinda sana wateja wa benk sasa hiv!!!!
 
Uzembe wao Mimi haunihusu.
 
We nae una ukiazi kiasi hichi, kwanini umma usijui kama kuna uozo wa hivi wengine wanajifunzia kupitia madhaifu yaliyojitokeza
Umejuaje kama benki ndo wana uozo??..Tuwe makini,hizi taasisi hazichafuliwi tu hivihivi bila evidence ya kueleweka..
 
Umejuaje kama benki ndo wana uozo??..Tuwe makini,hizi taasisi hazichafuliwi tu hivihivi bila evidence ya kueleweka..
Hizo ni complain kama complain pia zinajibiwa kwenye platform hizi hizi, najua humuamini mleta mada lakini nimemchukulia tu kama raia mwingine, bank nyingi watu hupoteza kuaminiwa kwa upuzi mdogo mdogo kama huu
 
Back
Top Bottom