ACACIA: We declare everything of commercial value that we produce and pay all appropriate taxes

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Kampuni ya uchimbaji madini ya ACACIA imetoa taarifa kuhusu Ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli leo asubuhi kutoka kwa Kamati iliyopewa kazi ya uchunguzi.

Kamati imetoa taarifa kuwa kampuni ya ACACIA haijatoa taarifa kamili(sahihi) ya kiasi cha madini kilichopo kwenye makanikia yaliyoshikiliwa na kwamba amri ya kuzuia usafirishaji wa makontena yenye mchanga huo inaendelea kuwepo.

ACACIA bado haijaiona Ripoti hiyo inayosema kuwa kiasi cha madini kilichopo kwenye makontena hayo yanayoshikiliwa hadi sasa katika Bandari ya Dar es Salaam ni mara 10 ya kiasi kinachotajwa kwenye nyaraka za usafirishaji. Bado wanatafuta Ripoti kamili na ufafanuzi zaidi.

ACACIA inasisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho wanazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

Wanamalizia kwa kusema watatoa taarifa zaidi kwa wateja haraka iwezekanavyo.

=========

24 May 2017

Acacia Mining plc

LSE:ACA

("Acacia" or the "Company")

Update on the export of metallic mineral concentrates

ACACIA would like to inform the market that the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli is hosting a public presentation this morning at 07:30 UK time, in Swahili, where the Chairman of the first Presidential Committee, made up of academics and industry professionals to investigate the contents of the concentrate containers, will present a report to the President.

ACACIA has fully co-operated with their work. The report and the findings of the Committee have not been shared with ACACIA and it is not clear to what extent they will be disclosed at the presentation this morning. ACACIA will provide an update to the market as soon as practical following the President's press conference.

IMG_6926.jpg


UPDATE:

Further update on the export of metallic mineral concentrates

ACACIA notes the findings of the Presidential Committee’s investigation into the export of gold/copper concentrates which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning. The Committee has stated that ACACIA has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

ACACIA has not yet seen a full copy of the report, which states that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar es Salaam port is more than 10 times the declared amount. We are seeking a full copy of the report and further clarification.

ACACIA re-iterates that it fully declares everything of commercial value that we produce and pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce.

ACACIA will provide a further update to the market as soon as practical.
 
Moto unakaribia kuwaka......

Kuleta siasa za resource nationalism kwenye hela ya mtu aliyowekeza si jambo dogo,billions zimelala hapo,kutoa taarifa ya upande mmoja,tena iliyoandaliwa na academicians wanaosahihisha mitihani na hawajawahi kuendesha mgodi au biashara ya madini zaidi ya kusahihisha mitihani ya vijana waliotoka form six!!

Mziki nauona ndio kama unaanza,hao wazungu wanaongelea "of commercial value"
 
Natural justice acha nikae kimya ukweli unatabia moja huwa unachelewa sana, muhongo naona leo wote ccm na upinzani wanakubeza kwa maneno ya ovyo kweli una damu ya kunguni, ila jipe moyo Mungu hamtupi mja wake ipo njia.
 
Report ya kamati imekaa kisiasa mno. Kwa uchunguzi kama huu ulihitajika uangalifu zaidi, tahadhari zaidi, utaalam zaidi na utumiaji kamati ambayo ina mchanganyiko mzuri na mkubwa zaidi.

Anayetuhumu, ndiye anayechunguza na ndiye anayehukumu. Sijawahi kuona!
 
24 May 2017

Acacia Mining plc

LSE:ACA

("Acacia" or the "Company")

Update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia would like to inform the market that the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli is hosting a public presentation this morning at 07:30 UK time, in Swahili, where the Chairman of the first Presidential Committee, made up of academics and industry professionals to investigate the contents of the concentrate containers, will present a report to the President.

Acacia has fully co-operated with their work. The report and the findings of the Committee have not been shared with Acacia and it is not clear to what extent they will be disclosed at the presentation this morning. Acacia will provide an update to the market as soon as practical following the President's press conference.

UPDATE:

Further update on the export of metallic mineral concentrates

Acacia notes the findings of the Presidential Committee’s investigation into the export of gold/copper concentrates which were presented to the President of Tanzania H.E. Dr. John P. Magufuli this morning. The Committee has stated that Acacia has not fully declared all of the minerals contained in the concentrate and the directive halting the export of metallic mineral concentrates remains in place.

Acacia has not yet seen a full copy of the report, which states that the value of minerals within the concentrates in the containers currently at the Dar es Salaam port is more than 10 times the declared amount. We are seeking a full copy of the report and further clarification.

Acacia re-iterates that it fully declares everything of commercial value that we produce and pay all appropriate royalties and taxes on all of the payable minerals that we produce.

Acacia will provide a further update to the market as soon as practical.


Kwani Alieunda Kamati si ndiyo alipashwa kupewa repoti? Hawa wanataka Report kwenda kwao ili wawahonge?

Kazi Kwisha
 
Moto unakaribia kuwaka......

Kuleta siasa za resource nationalism kwenye hela ya mtu aliyowekeza si jambo dogo,billions zimelala hapo,kutoa taarifa ya upande mmoja,tena iliyoandaliwa na academicians wanaosahihisha mitihani na hawajawahi kuendesha mgodi au biashara ya madini zaidi ya kusahihisha mitihani ya vijana waliotoka form six!!

Mziki nauona ndio kama unaanza,hao wazungu wanaongelea "of commercial value"

we wacha ujinga, kwani mzungu ndio nani? sio hao waliokuwa wanabadilishana shanga na dhahabu na babu zetu? kama walikuwa fair kwa nini hawakuwapa vitu vyenye thamani sawa na dhahabu walizokuwa wanachukua??
 
Moto unakaribia kuwaka......

Kuleta siasa za resource nationalism kwenye hela ya mtu aliyowekeza si jambo dogo,billions zimelala hapo,kutoa taarifa ya upande mmoja,tena iliyoandaliwa na academicians wanaosahihisha mitihani na hawajawahi kuendesha mgodi au biashara ya madini zaidi ya kusahihisha mitihani ya vijana waliotoka form six!!

Mziki nauona ndio kama unaanza,hao wazungu wanaongelea "of commercial value"

Kaka wewe nimuajiria wa Acacia?
 
Nafikiri walifikiri itakuwa kama zile ripoti zilizopita. Nilifikiri watajikalia kimya naona wanawashwa hadi hawawezi kujizuia...wasubiri ripoti tupewe wote au irushwe kwa wote pia...wao akina nani kama vile haitatolewa kwa public eeeeh

Wataendelea kuweweseka

Hii ni awamu ya Magufuli

Magufuli 2020

Magufuli oyeeeeeeee
 
Back
Top Bottom