Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,901
Kumbuka "East African Mine" Wao walijenga mpaka Underground Train, wakavuna wakachoka wakajiondokea miaka hiyoooo. Sasa sisi tunavuna makapi "Tailings" na bado tunapata. Kimsingi yale madhahabu yaliyojaa huko Germany, Rome, etc ndo hizo za East African Mines.
Sasa basi huko Buzwagi na Kakora si Barric Gold Tanzania President miaka hii ya karibuni "Mr. Deo Mwanyika" wakuu wa Mgodi wa Buzwagi na Kakora wapo hapa nchini. Waitwe kwenye public wauleleze umma walikuwa wanasafirisha nini. Maana sasa tuna evidences. Wakikataa kusema ukweli walichokuwa wanapeleka nje. Basi tusubiri tarehe ikifika mbele ya uso wa Mungu. Naye watamdanganya?????
Please Mr. Mwanyika na timu yako njoo utoe mashaka hapa.
Mkuu umesema vizuri sana.
Ila ondoa mambo ya Mungu hapo.
Waletwe, waulizwe wotoe majibu mubashara tena hata kwa Damu kuwavuja ili wapate akili na ili iwe fundisho kwa wengine wawe wanasema ukweli.
Mungu kumshilikisha, halafu Mungu mwenyewe ni huyu wa wazungu koko na warabu wajitoa mhanga na magaidi, ambaye ukitenda dhambi unatumbu unasamehewa uovu wote haukumbukwi!
Therefore, to involve God in this matter; it's completely wrong and it will be to late.