Acacia Mining: Leo Ndio Siku ya Final Finale, Acacia is No More, It's Now A History!. Scheme Imekamilika, Ujio Wa Barrick Waanza Rasmi.

Tudadavulie tusiojua kinacho.. Mkuu.
Mtego uko kwenye neno Economic Benefits ndiyo hapo ambapl akina Prof Kabudi hawakuelewa. Naleta hapa tafsiri ya Economic Benefits kwa lugha ya Malkia;

  • Economic profit is total revenues minus total costs—explicit plus implicit costs.
  • Explicit costs are out-of-pocket costs for a firm—for example, payments for wages and salaries, rent, or materials.
  • Implicit costs are a specific type of opportunity cost: the cost of resources already owned by the firm that could have been put to some other use. For example, an entrepreneur who owns a business could use her labor to earn income at a job.

Kwa hiyo mkataba unaposema ku-share 50/50 ina maana kila mmoja wetu atalipia hizo Explicit Costs na Implicit Costs
 
Mkuu paskal ,hebu fafanua kidogo nini maana ya faida za kiuchumi,hapa pananipiga chenga na ninafahamu wengi wanatoka patupu,
Kwa faida ya watanzania,tafadhali
 


Hakika Watanzania tunahitaji Majibu sahihi ya hayo maswali
 
Na Je, sheria zimebadilika ili mikataba yote iwe wazi hata kama sio kwa watu wote ila japo kwa wahusika muhimu?

Kuendelea na usiri unaogubika hii mikataba itaendelea kutengeneza mikataba mibovu.
 
Acacia haijapotea wala kuondoka but have become part of Barrick. Inauelewa mzuri wa Kiingereza? Imeelezwa wazi kuwa Acacia will be part of Barrick.
 

Bado kuna mtu anaendèlea kubisha?
 
Acacia haijapotea wala kuondoka but have become part of Barrick. Inauelewa mzuri wa Kiingereza? Imeelezwa wazi kuwa Acacia will be part of Barrick.
Nowhere in the world Acacia will come out and say we are Acacia. Hii kampuni ya wanasiasa imekufa kifo cha mende.
Rushwa inaleta shida. Ndio maana Acacia ilizaliwa kuwabeba wapenda rushwa
 
Kuna mtu kasema eti moja ya makubaliano ni kwamba "Bunge halitaruhusiwa kwa vyovyote vile kutunga sheria itakayokuwa kinyume na makubaliaono waliyofikia leo"

Je, hii ni kweli?
 
Kwahiyo PUSU imefanya kazi sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…