ACACIA: Kutokana na tofauti kubwa, kunapaswa kuwe na ukaguzi huru juu ya kiasi cha madini kilichopo

Miaka 17 wamekuwa wanasafirisha mchanga wenye madini zaidi ya yale wanayolipia. Kama kweli sio wezi wangeshasema kuwa kuna aina nyingine za madini. Lakini leo hii wameshindwa 'KUWANUNUA' viongozi wa Tanzania siri imetoka, wanakuja na ujanja mwingine wa uchunguzi huru.
Kwani unadhani haijulikani kuwa kuna madini mengine. Hiyo inajulikana, ishu yapo kiasi cha kuchenjua na kupata faida. Hivi unajua udongo tunaokanyaga nimadini tupu, je unaweza kuchenjuakutoa iron,copper, kaolin na madini mengine.
 
Hawa jamaa unaowatetea ni matapeli ndiyo maana mpaka sasa wana kesi ya udanganyifu na TRA. Walidanganya vitabu vyao vya hapa lakini wakaweka hesabu zingine LSE kusudi kupata wanahisa wengi. Hawa jamaa watapatikana tu tuwe na subira Magufuli siyo Kikwete.
Kudanganya wanadanganya hiyo sio uongo, lakini sio kwenye ishu ya grade za madini, hapo ndio siwezi kuamini
 
Wewe una taaluma hii??? Tuanzie hapo

Na unajua Prof yuko in touch na field/chaka kias gani?

Geomex(Geology and mineral exploration) ndio field yangu. Najua integrity ya Prof.

NB: kwa sasa hata mimi sijaona ripoti so sijui mbivu na mbichi. Ila integrity ya Prof naijua na anajua anachofanya na pia naheshimu wataalam wa Barick(now ACACIA),SGS

Hii picha bado ndefu kuisha
Mimi ni mtalaam wa madini. Nimefanya Buly kabla yako. Nimefanya migodi mingine ndani ya Tanzania. Nimefanya South America, West Africa, na pia nimewahi kuongoza timu za wataalam kwenye DFS nje ya Tanzania.

Namfahamu Mruma, namfahamu Ikingura, wote vizuri sana.

Kwa ujumla wataalam hawa wameaibisha taaluma na wataalam wa Tanzania kwa ripoti kama ile.
 
labda utuambie kwa nini serikali inaogopa kuwakabidhi full report na methodology zote walizotumia kufikia kwenye matokeo yao?hata wewe kimoyomoyo ushaanza kustuka kuwa kamati inawezekana wakawa ni kituko cha dunia kwa ile ripoti yao...
Ivi lowasa au naheem na mohamed gire walikabidhiwa report ya RICHMOND?
 
Did Acacia,at any point ,say that Tanzania belongs to them?
Have you ever invested in any business where the owner is separate from management ? If no ,then no wonder your level of appreciating the importance of information is so low.

In the business of shares information is key ! It is the game changer![/QUOTE
I did not say they have claimed but it was a reminder to them.
Do not tell me that to appreciate the importance of information flow, you need to have been an investor. I do not know how you back up your illogical assertation. I Did not say that information is not important, what however I did say is that It is awkward and irrational for them to respond to the report which they have not read themselves.
 
Mimi ni mtalaam wa madini. Nimefanya Buly kabla yako. Nimefanya migodi mingine ndani ya Tanzania. Nimefanya South America, West Africa, na pia nimewahi kuongoza timu za wataalam kwenye DFS nje ya Tanzania.

Namfahamu Mruma, namfahamu Ikingura, wote vizuri sana.

Kwa ujumla wataalam hawa wameaibisha taaluma na wataalam wa Tanzania kwa ripoti kama ile.
Umefanya Buly kabla yangu umejuaje?

Kwa jibu hilo tu sidhani kama naongea na mtu anayejua sayansi.

Kwa sasa tunasikia tu kuhusu ripoti. Ngoja tuipate ndo tutaongea vizuri.

For the time being nasimama timu Tanzania
 
Na yale makontena mwenyekiti alimwambia atamuonyesha mheshimiwa rais ni yapi au ndio haya 277?
 
Wameshikwa pabaya ACACIA wanahaha watulie report mbona zipo wazi hadi kwenye mtandao wanahitaji zipi zaidi wasituzengue hao wezi tu
 
Did Acacia,at any point ,say that Tanzania belongs to them?
Have you ever invested in any business where the owner is separate from management ? If no ,then no wonder your level of appreciating the importance of information is so low.

In the business of shares information is key ! It is the game changer!
I did not say they have claimed so, but it was a reminder to them.
Do not tell me that to appreciate the importance of information flow, you need to have been an investor. I do not know how you back up your illogical assertation. I Did not say that information is not important, what however I did say is that It is awkward and irrational for them to respond to the report which they have not read themselves
 
Hawa jamaa unaowatetea ni matapeli ndiyo maana mpaka sasa wana kesi ya udanganyifu na TRA. Walidanganya vitabu vyao vya hapa lakini wakaweka hesabu zingine LSE kusudi kupata wanahisa wengi. Hawa jamaa watapatikana tu tuwe na subira Magufuli siyo Kikwete.

Hujui unachosema. Wafanyabiashara wengi wana kesi na TRA na haimaanishi wote wameiba. Kodi ni matter of interpretation of the law.

Kuna wanaosema VAT ni kwa mfanyabiashara na mwingine anasema ni kwa mlaji wa mwisho. Kidata na Ndulu.

Kesi zitakuwepo tu hususani sekta ya madini. Tafuta afisa wa TRA au mwalimu wa kodi akufundishe.

DSE wanaonyesha vitabu vingine na LSE wanaonyesha vingine na CMSA na FCA wapo kimya.

Aliyetunyima elimu Tanzania alaaniwe.
 
I did not say they have claimed so, but it was a reminder to them.
Do not tell me that to appreciate the importance of information flow, you need to have been an investor. I do not know how you back up your illogical assertation. I Did not say that information is not important, what however I did say is that It is awkward and irrational for them to respond to the report which they have not read themselves
summary of the findings is out there for everyone to see and they too have responded with a summary,besides,the summary was too televised on a national television....they need the whole report with specifics
 
ACACIA nao wamepanic mnoo khaaa!!

Wao watulie kwanza, wasifikiri Serikali haijui nn cha kufanya kwa sasa, kwa sasa ni consultation mbalimbali zinafanyika.

Reconciling lazima iwepo ikiwa kilichokutwa na Tume ni sahihi, na serikali haiwezi kwenda mahakamani kwa hilo ikiwa njia zingine bado hazijachukuliwa ni hivo hivo kwa ACACIA...

Hivyo, Kuna uwezekano kwamba, kampuni iliyofanya exploration na kugundua madini ilificha kiasi na aina zingine za madini, hii ni ikiwa Report ya Tume ni sahihi, lakini mchanga ulipimwa na maabara na wataalamu wabobezi, wao watulie tu
Unafanya reconciliation baada ya kutangaza? Kumbuka Mkuu ashaapokea taarifa.
 
tuiombee nchi yetu tuvuke tupate pesa kokote tushinde mpaka mahakamani na wanazidi kutufungua kuwa na wao
wanajipanga wanadai utafiti si wa kweli container wanazo wao?
 
I do not know whyAcacia Mining plc should respond to the report which they have not got the copy yet. It is irrational and inappropriate for them to fo so. In fact, I find this reply intends to mislead and corrupt a normal joe of this country because if one tries to scrutinize seriously their reply, one can find out that their reply is hypothetical one. This means, it does not really help us to get into the bottom of this saga. The response is full of "ifs this then why that" which is hypothetical kind of argument and usually is done to mislead. In analysing this reply, I find some logical flaws, in sense that they provide facts which they are unconnected with proposition. Reading between the lines of this reply, I find Acacia Mining plc do not really deny the allegation rather they raise some issues which might seems impossible so that they can be seen as innocent.
I do not judge yet this issue till I get to hear from them after reading the report. However,Acacia Mining plc should know that this country belongs to Tanzanians.
It is true that this is our country and we deserve the best from our resources,but we shouldn't ignore the fact that they are here legally and we have contract with them which as of now is still valid. We need therefore to make sure that whatever we are doing cannot backfire on us.

Acacia, from business perspective they have all reasons to clarify on the issue, regardless of the clarity of information they have at the moment, it is all about credibility of their company.
 
Mkuu hawa jamaa si wa kuwaamini mkuu. Nimefanya nao kazi miaka mingi wa namna hii. Kama katika ujenzi kabla concrete haijawa casted hua vipimo vinachukuliwa na kwenda kuwa tested maabala. Ukweli sample yao ikishachukuliwa yalibaki na mwendo mdundo. Wanahonga ma resident engineer kusudi wasaini na kama hufanyi hivi utaishia masikini hivyo wengi hununuliwa. Usiamnini sana hivyo vipimo hawa ni wezi tu. Utawapata ukistukia kama hivi al;ivyofanya magufuli.

Kwa wajenzi unawapatia ukienda site bila wao kujua na ukachukua sample. Tusipende kushabikia tu kuhusu hawa jamaa tusubiri nadhani ukweli utapatikana. Kwanini wajibu kabla hawajapewa report kama si kujistukia?
Naona point hapa acha tusubiri. Maana ujanja ujanja mwingi.
 
Back
Top Bottom