ACACIA: Kutokana na tofauti kubwa, kunapaswa kuwe na ukaguzi huru juu ya kiasi cha madini kilichopo

Data zipi mfano? Mimi sioni data naona mtu anatafuta kichaka cha kukimbilia...Kama ni ku triangulate za Prof. Mruma nitakwambia how they can hizo zao wakae nazo jwa sasa...
labda utuambie kwa nini serikali inaogopa kuwakabidhi full report na methodology zote walizotumia kufikia kwenye matokeo yao?hata wewe kimoyomoyo ushaanza kustuka kuwa kamati inawezekana wakawa ni kituko cha dunia kwa ile ripoti yao...
 
  • Thanks
Reactions: GSL
Nyabhingi, jana hata kabla Acacia hawajatoa hili tamko lao la leo, mimi niliandika haya hapa chinibkwenye uzi mmoja...hebu jaribu kusoma nilichoandika kwa hesabu zangu binafsi kabla hata ya kupata hint toka Acacia...

Masahihisho yanatakiwa mengi tu kwenye ile report. Makontena 277 yawe na tani 7 za dhahabu...maana yake kila container lina kilo 25 za dhahabu...plus hayo madini mengine. Kilo 25 mi kama ounces 803....kwahiyo kwa makontena yote 277 kuna ounces 225,000. Huu ni uongo mtakatifu. Maana yake kama hii ni 30% tu ya production ya Buzwagi na Buly basi monthly production yao itakuwa around 750,000 ounces. Hatuna gold deposit za kiwango hicho kwenye mgodi wowote ule duniani.
Tulawaka ilidumu kwa miaka 9 chini ya Barick na wao hawakuwa na makinikia...dhahabu ilikuwa inakuwa extracted hapohapo mgodini....miaka 9 uote zilipatikana ounce kama milioni 1. Leo useme eti makontena yale ambao ni mzigo wa mwezi mmoja...tena 30% tu ya zalishaji yawe na karibu robo ya kilichopatikana Tulawaka kwa miaka 9? Tulawaka ndio mgodi pekee uliokuwa na grade ya juu kabisa ya dhahabu kuwahi kutokea katika migodi yote ya kanda ya ziwa.
Wekeni ripoti yote wazi....tuisome.
mkuu humu ndani kuna wazalendo uchwara,they easily get carried away,ile ripoti ya kamati ni very questionable,natamani outcome iwe in our favor lakini zile takwimu za mruma zinanivunja moyo!
 
ACACIA nao wamepanic mnoo khaaa!!

Wao watulie kwanza, wasifikiri Serikali haijui nn cha kufanya kwa sasa, kwa sasa ni consultation mbalimbali zinafanyika.

Reconciling lazima iwepo ikiwa kilichokutwa na Tume ni sahihi, na serikali haiwezi kwenda mahakamani kwa hilo ikiwa njia zingine bado hazijachukuliwa ni hivo hivo kwa ACACIA...

Hivyo, Kuna uwezekano kwamba, kampuni iliyofanya exploration na kugundua madini ilificha kiasi na aina zingine za madini, hii ni ikiwa Report ya Tume ni sahihi, lakini mchanga ulipimwa na maabara na wataalamu wabobezi, wao watulie tu

Watulie kitu gani wakati tayari Magufuli na serikali yetu inaharibu image ya kampuni kimataifa kwa kuwatangaza kuwa ni wezi, wakwepa kodi nk?

Waeleweke vipi kwa shareholders wao iwapo watakaa tu wakiangalia hii destruction ikiendelea kufanyika ?

Jamaa wamesema kabisa ".....we are considering all of our options......"

Nadhani, hii nayo ni option ktk kuiweka sawa kampuni yao na washirika wao wa kibiashara.....

The next option ambayo ndiyo itakuwa final, nadhani itakuwa ni kuomba fidia ya uharibifu huu mahakamani na kulazimishwa kuwasafisha jamaa.... madhara ya kukurupuka.....

That's what is ahead of Mr President Magufuli.... akae mkao wa kunyolewa bila maji kwa msemo wa Tundu Lissu..... !!
 
mkuu humu ndani kuna wazalendo uchwara,they easily get carried away,ile ripoti ya kamati ni very questionable,natamani outcome iwe in our favor lakini zile takwimu za mruma zinanivunja moyo!
Zile takwimu kwakweli zimetuharibia..ni uongo wa wazi. Kama tungekuwa na kiwango hicho cha gold deposits kwenye migodi yetu, basi Tulawaka ambayo sasa inaitwa Stamigold Biharamulo Mine baada ya kununuliwa na Stamico/serikali isingekuwa inasuasua. Kinachoniuma ni kuwa mimi nafanya kazi mgodini lakini sio mining engineer..ni electrical...iweje niweze kuona uongo wa wazi wa ripoti ile kutokana na mafigure yasiyowezekana kiuhalisia, alafu eti profesa mbobezi kwenye fani hiyo pamoja na wna kamati wote washindwe kabisa kuona how unrealistic their figures are? Imeniuma sana.
 
Watulie kitu gani wakati tayari Magufuli na serikali yetu inaharibu image ya kampuni kimataifa kwa kuwatangaza kuwa ni wezi, wakwepa kodi nk?

Waeleweke vipi kwa shareholders wao iwapo watakaa tu wakiangalia hii destruction ikiendelea kufanyika ?

Jamaa wamesema kabisa ".....we are considering all of our options......"

Nadhani, hii nayo ni option ktk kuiweka sawa kampuni yao na washirika wao wa kibiashara.....

The next, nadhani itakuwa ni kuomba fidia ya uharibifu huu mahakamani..... that's what is ahead of Magufuli....!!
Nani kaitangazia dunia? Sisi tulisitisha ili tujilizishe kwanza, wao watulie tutawajulisha rasmi, ili na wao wadhibitishe madai yetu data kwa data, containers si sipo shaka ya nini? Tutakwenda hata Russia, North Korea, Uchina kuhakiki watulie, watajulishwa tu officially.
 
Hapa siyo suala la kufanya kazi na mtu bali cha muhimu ni uelewa wa industry. Maprofesa wetu ni watu wa theory, hawaielewi industry. Mtu yeyote mwenye uelewa na fani ya madini, bila hata ya ACACIA kukanusha alijua kuwa ile ripoti siyo ya kweli, ni jambo lisilowezekana.

Hakuna mgodi unaotoa dhahabu na madini mengine hata nusu ya kiasi hicho Dunia nzima. Profesa ameiabisha taaluma, serikali na Watanzania wote.

Wewe una taaluma hii??? Tuanzie hapo

Na unajua Prof yuko in touch na field/chaka kias gani?

Geomex(Geology and mineral exploration) ndio field yangu. Najua integrity ya Prof.

NB: kwa sasa hata mimi sijaona ripoti so sijui mbivu na mbichi. Ila integrity ya Prof naijua na anajua anachofanya na pia naheshimu wataalam wa Barick(now ACACIA),SGS

Hii picha bado ndefu kuisha
 
Upende usipende kuna kaukasisi jaribu kusoma interview ya CEO wao imo humu ktk JF imepostiwa na Mselewa.

Mimi sipendi kuegemea upande wowote kwa taarifa za kwenye vyombo vya habari/mitandao

Hio ripoti ndio muhimu kuliko kila kitu.

Kwa sasa naegemea timu Tanzania tu. Ila najua sayansi haidanganyi kamwe.
 
Eti asilimia 1 ya 10.kilichopatikana kwenye makontena.
Kwa hyo kuna mtu kawafanyia usanii kaongeza madini kwenye makontena?wanahamisha magoli hawa.
 
Nani kaitangazia dunia? Sisi tulisitisha ili tujilizishe kwanza, wao watulie tutawajulisha rasmi, ili na wao wadhibitishe madai yetu data kwa data, containers si sipo shaka ya nini? Tutakwenda hata Russia, North Korea, Uchina kuhakiki watulie, watajulishwa tu officially.

Unadhani kilichofanyika kina tofauti na Bashite à. k. a Makonda aliyekwenda mbele ya kamera za TV na Radio kuwatangaza kina Gwajima na wengine kuwa ni walaji na wauzaji wa unga bila kuwa hata na ushahidi wa anachokitangaza??

Hiyo ripoti ya Mruma walikabidhiana kwenye chumba kimoja wapo pale magogoni behind TV cameras, siyo ?

Unaelewa kweli hata unacho argue hapa au mihemuko tu imekutawala mkubwa ?
 
Hahahaa hawataki kuwapatia Report? Nazani mtuhumiwa lazima na yeye awe na report.

Hapa ndo utata unapo anzia
Kupenda kumulikwa na makamera wakidhani wanawakoga chadema kunawaponza hivi hivi wakiangalia.
 
Hahahaa hawataki kuwapatia Report? Nazani mtuhumiwa lazima na yeye awe na report.

Hapa ndo utata unapo anzia

Miaka 17 wamekuwa wanasafirisha mchanga wenye madini zaidi ya yale wanayolipia. Kama kweli sio wezi wangeshasema kuwa kuna aina nyingine za madini. Lakini leo hii wameshindwa 'KUWANUNUA' viongozi wa Tanzania siri imetoka, wanakuja na ujanja mwingine wa uchunguzi huru.
 
ACACIA nao wamepanic mnoo khaaa!!

Wao watulie kwanza, wasifikiri Serikali haijui nn cha kufanya kwa sasa, kwa sasa ni consultation mbalimbali zinafanyika.

Reconciling lazima iwepo ikiwa kilichokutwa na Tume ni sahihi, na serikali haiwezi kwenda mahakamani kwa hilo ikiwa njia zingine bado hazijachukuliwa ni hivo hivo kwa ACACIA...

Hivyo, Kuna uwezekano kwamba, kampuni iliyofanya exploration na kugundua madini ilificha kiasi na aina zingine za madini, hii ni ikiwa Report ya Tume ni sahihi, lakini mchanga ulipimwa na maabara na wataalamu wabobezi, wao watulie tu
Unajua ina maana gani kupotesa revenue ya USD milioni 1 kwa siku? Mwekezaji anapotafuta fursa ya kujitetea ili asiendelee kupata hasara huko ni kupanic?
 
I do not know whyAcacia Mining plc should respond to the report which they have not got the copy yet. It is irrational and inappropriate for them to fo so. In fact, I find this reply intends to mislead and corrupt a normal joe of this country because if one tries to scrutinize seriously their reply, one can find out that their reply is hypothetical one. This means, it does not really help us to get into the bottom of this saga. The response is full of "ifs this then why that" which is hypothetical kind of argument and usually is done to mislead. In analysing this reply, I find some logical flaws, in sense that they provide facts which they are unconnected with proposition. Reading between the lines of this reply, I find Acacia Mining plc do not really deny the allegation rather they raise some issues which might seems impossible so that they can be seen as innocent.
I do not judge yet this issue till I get to hear from them after reading the report. However,Acacia Mining plc should know that this country belongs to Tanzanians.

But have you seen the Commitees report?, Why do you comment on its findings too?
 
Hawaezi kutulia kwa sababu hisa zao zinaporomoka kufuatiwa kuitwa wezi. Hivyo lazima wajibu kurudisha imani kwa wanahisa wao.

Wakikaa kimya siku tatu hisa zinaweza kushuka bei mno. Hivyo lazima wajibu.



Kama hiyo reconciling inatakiwa kufanyika, basi ingefanyika kabla ya kuleta kamera na kutangaza watu wezi. Sasa reconciling ikifanyika ikaonekana ripoti ina walakini kamera zitaitwa na kutangaza makosa hayo? Waliofukuzwa watarudishwa?



Ikiwa ripoti ya tume si sahihi tutawafidia na kodi zetu hasara walizopata? Hapo wanasema $1m kwa siku. Huu sasa ni mwezi wa ngapi wanaingiza hiyo hasara. Inabidi tufike mahali tufanye mambo bila kukurupuka.
Hawa jamaa unaowatetea ni matapeli ndiyo maana mpaka sasa wana kesi ya udanganyifu na TRA. Walidanganya vitabu vyao vya hapa lakini wakaweka hesabu zingine LSE kusudi kupata wanahisa wengi. Hawa jamaa watapatikana tu tuwe na subira Magufuli siyo Kikwete.
 
Back
Top Bottom