ACACIA je watatulipa lini trillion zetu?

ACACIA je watatulipa lini trillion zetu?

Bado kidogo tu Mkuu..
Wanapitia idadi ya watanzania ili wafanye hesabu kamili kupata Noah zitakuwa ngapi..!!!
 
Mkuu....
Ukilazimisha ushuzi, mwishowe utajinyea.....
Wepambana na haliyako tu
 
Tena mm nishapanga jamaa wanitumie hela ninunue Noah tena nishapanga Noah nyeusi!

Ova
 
Oda ya Noah mil 50 kwa idadi yetu imekuwa kubwa sana huko Japan kwahiyo wanatengeneza nyingine ili kufikia idadi hiyo
 
ACACIA ni kina nani wakati tuliambiwa hawajasajiliwa kuendesha shughuli zao hapa nchini., ACACIA tuwaweke kundi moja na wale watu wasiojulikana kule KIBITI, MKURANGA & RUFIJI.
 
Ha haa! Mkuu, naona umechoka kutembea kwa miguu na sasa unataka Noah yako... Vuta subira kidogo...
 
Mi nmesema wasinipe Noah bali wanipe hela niongezee nichukue harrier...sitaki sare sare mie.

Delta Force
 
Professorial rubbish...
Lisue anakera hata kama hutaki kumkamata inabidi umkamate
 
Utangoja milele na utakufa bila kelele. Kama walivyokufa wafuasi wa kibwetele! in professor J voice
 
Back
Top Bottom