Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Ni kweli MkuuNot only scoring but Balotelli is looking very lively today, ana dribble, ana piga pass na some wonderful shots, if they can manage him, may be tunaweza kumuona the actual Balotelli.
Ni kweli Mkuu
Sahihi MkuuUnfortunately hatakuwepo when they face Barca kwenye Champions League.
Ni AC dhidi ya Udinese.Tayari,katika dakika ya 25,Mario Balotelli ameshapachika bao moja kwa AC Milan.Milan wana nafasi ya kuchumpa hadi nafasi ya nne kama ikishinda kufuatia kufungwa kwa Inter Milan mabao 3-1 na Siena.
cc Gang Chomba
that is mario bana we will miss penalts hair styles and much more..
good luck mario
Kweli Mkuu?Zamani ilikuwa tattoo siku hizi Milan ni wazee wa viduku..kwi..kwii!
that is mario bana we will miss penalts hair styles and much more..
good luck mario
Kweli Mkuu?
Ile penati hata makipa wangekuwa wanne wasingedaka...
yes,hukumbuki tatto za akina Ambrosini,Gattuso,Shevchenko,Kaladze n.k sasa leo pale san siro ni mwendo wa viduku tu,balloteli,el shaarawy,Niang na wengineo Chomba atamalizia.
nazungumzia uhalali wa penati ile.mpaka allegri mwenyewe kasema ile haikuwa penati.tungekuwa sie pale..mishipa ya shingo ingewatoka watu!
kweli mtammis na penalty zake maana kale kapenati ka jana..mmmh!ingekuwa sie wenye damu ya kunguni hadithi ingekuwa nyingine saa hizi!
Dakika ya 77 Balotelli aliangushwa then Refa akakauka kimyaaa...
Au hukuona?
Binafsi siwezi kumlaumu Balotelli,ni malezi aliyokulia kuwakosa wazazi wa damu kumlea,nimeona wengi wa watu wasiolelewa na wazazi wao na ukijumlisha wakiwa chini ya miaka 25 bado akili zao hazijakomaa na wengi wao ni watukutu,ndio maana inakuwa ngumu kumnyosha Balotelli,aliacha kimbwanga jijini Manchester wakati ombaomba wa kizungu barabarani alipokuwa anaendesha bentley yake alikuwa anaomba akafungua dirisha na kumpatia Pauni 1000,yule mzungu sababu hafuatilii soka hakumjua Balotelli,akahadithia wa2 mtaani na alishangaa kuona jinsi mweusi gani kampa hela nyingi kiasi hadi magazeti ya udaku eg the sun yalidadisi na kujua ni Balotelli,na kumuuliza kwanini kampa hela nyingi kiasi hicho yule ombaomba,Balotelli akadai ili siku nyingine asimuombee tena itamsaidia.Not only scoring but Balotelli is looking very lively today, ana dribble, ana piga pass na some wonderful shots, if they can manage him, may be tunaweza kumuona the actual Balotelli.