Let's assume the tables are turned na huyu mtu tunaemuongelea sasa awe jina lake ni Joseph na tuhuma zinazomkabili ziwe sawa na zinazomkabili jamaa tunaemuongelea (ila scenario kama hii hii itokee nchi yeyote ya Kiislamu), mke wake angekuwa anaishi nyumba kama hiyo? Na sihitaji kuuliza swali linalohusu kitakachomtokea mhusika Joseph maana most likely mkewe atafikwa na same thing as her husband at the same time (bila kujali 'hatia' ya mumewe nae kaishiriki au la)
Kuna kitu hujajua bado. Kwanza ni nchi gani ya kiislam (kimjahedina) itakayoruhusu ardhi yake itumike kikristo hadi atokee Joseph unayemfikiri?
Joseph unayemwazia hawezi kutokea kwa kuwa wakristo wanaamini kwamba YESU MASIHI(kristo) alifufuka, Yu hai. Hahitaji kutetewa, Anajitetea mwenyewe, maana YU HAI si marehemu.
Hakuna haja ya kuwa na Joseph atakayeuwa watu wasionahatia, wasiohusika eti ana mtetea Masihi wa BWANA, Yesu Mnazareti. Hakuna kitu kama hicho.
Joseph huyo anafahamu Yesu Kristo anafundisha kwamba "Adui yako mpende, akiwa na njaa mpe chakula ale....pia kisasi ni cha BWANA"

Well done MP. These guys are unthankful. When they go to the UK embassy to apply for visa for their first time they are as humble as the grass. After landing citizenship they start yelling that the country they migrated to should be ruled under islamic ballyhoos. If I were British Authorities no visas or permit would be given to all those who think their religion is better than others. Let them go and preach their nonsense in Saudi Arabia or Kuwait and see the difference between those they call infidels and muslims he adore. Look at Osama bin Laden. Died wondering like a dog simply because he could not fool arabs but afghans and others.
Tofauti ya ulichokisema na nilichokisema ipo based only on one thing; the meaning of 'tuhuma'. Decipher that and you'll realize what I meant by my post!
Come on guys its a £1,000,000 COUNCIL FLAT na kama hamjui ni MLIPA KODI ndio anagharimia ukaaji wa huyo mama....sasa kwa nini mlipa kodi asilalamikie haki yake wakati huyo mama ni mkimbizi na kuna watu wa UK hawapati hizo flats ? Hivi mathalani mama Banda wa Malawi aje akae kwenye NHC flat zetu bila kulipa pango tungekubali?
kwa maana hiyo kila mtu ambaye amekuwa suspected na kosa lolote lile ikiwa amewekwa rumande basi mke na watoto watolewe kwenye nyumba kwa malalamiko ya walipa kodi??? au kuna sheria inayosema hivyo ???
NNi tofauti na unavyochukulia, anzia mstari wa 11 hadi 27 ndipo utapata falsafa ya parable hiyo. Ubarikiwe. Ila uje kuna imani nyingine ambao watamwaga damu za wasionahatia huku wakiamini kuwa wanamtolea mungu wao kafara.yesu anafundisha nini hapa
soma luka 19 :27
NNi tofauti na unavyochukulia, anzia mstari wa 11 hadi 27 ndipo utapata falsafa ya parable hiyo. Ubarikiwe. Ila uje kuna imani nyingine ambao watamwaga damu za wasionahatia huku wakiamini kuwa wanamtolea mungu wao kafara.
TATIZO UDINI UNAINGIZWA HAPO.........BASI HAKUNA LINGINE.........SASA WEWE UNAELEWA KABISA JAMAA KAHAMISHIWA MAREKANI NA KURUDI SI LEO WALA KESHO KWA NINI HUYO MAMA ASIONDOKE? ingekuwa ni nyumba yako ungefanyaje?
Hiyo falsafa si inamalizikia hapa Luka19:27
19:27 Na sasa, kuhusu hao maadui wangu ambao hawapendi niwe mfalme wao, waleteni hapa, mkawaue papa hapa mbele yangu."`
au kuna aya Bwana yesu kaitafsiri hiyo parable maana kila kanisa lina tafsili yake
Gaidi mkubwa huyo!
utekelezaji wa fundisho hilo, ulifanyika? J, toka yesu hadi wanafunzi wake(mitume wale 11) ni yupi aliyafanya hayo? Ila tunaona wao wakiuliwa, stefano, yakobo nk.yesu hakupigana ila aliwaacha wampige na kumuuwa. Maana ufalme wake si wa ulimwengu huu.