Absalom kibanda anavyoonekana kwa sasa

Pole sana brother, naamini Mungu ana makusudi na wewe na ndio maana watesi wako walishindwa kufikia uhai wako, nakutakia afya njema na ujasiri mkubwa hasa unapoanza maisha mapya ya ulemavu wa jicho, najua sio kitu rahisi lakini utashinda jipe moyo na usisahau sala kila upatapo nafasi.
 
Tumemuona Mungu amsaidie afya njema.
 
angalia nawewe usipelekwe Uganda kusoma kama Uli......
 
pole sana mkuu, ila na wewe ulizidi mno, kujiunga na wale jamaa( kina edo na bashe) means ulitangaza vita na kina membe, ritz1 na ikulu kwa ujumla, take care mwanafyale! ilibidi uwe neutral kaka!
 
Mpaka leo serikali imeshindwa kusema watesi wako ni akina nani ..labda ukija utwambie mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…