Sutimikoani
Member
- Nov 29, 2022
- 20
- 49
Hali inazidi kuwa Tete Kwa upande wa majeshi ya ukraine. Alisikika mwanajeshi mmoja akilalamika
Ukrainian army said " difficult to move every 1m, how to counter attack?. With condition like this, it is hard to advance but also it is difficult to withdraw. Only soldiers in the battlefield know what is going on and God knows them"
Kwa jinsi mambo yalivyo mpaka hivi sasa wale tuliosoma Cuba tunaelewa ni Kwa jinsi gani U.S.A na NATO wanatumia Kila mbinu kutaka Russia ashindwe hii vita. Sio Siri tena kuwa vikosi vya Ukraine vilivyokuwa vinapewa mafunzo ya mbinu za kijeshi kwenye nchi tofautitofauti za NATO kama U.K, Spain na U.S.A vinajiandaa kurudi Ukraine Kwa ajili ya kupambana na vikosi vya Putin Yani counter attack Kwa ajili ya kurudisha maeneo yanayoshikiliwa na majeshi ya Russia.
Unaambiwa kwamba, wanajeshi wa Ukraine wapo tayari na morali ya Hali ya juu Kwa ajili ya kurudisha maeneo Yao kwani wamepewa mafunzo ya kutumia silaha mbalimbali za kivita kutoka NATO na U.S.A. wanajeshi wa Ukraine wamepewa mafunzo ya kutumia mfumo wa patriot system (air defense system from U.S.A), vifaru vya ujeruman na marekani ambavyo vinaaminiwa vitabadili upepo wa vita.
Sisi wengine tutulie tuone hiyo counteroffensive attack ya ukraine itawasaidia au ndo itaongeza maumivu Kwa kupoteza majimbo mengne!!??. Lakini mpaka hivi sasa team Putin wanatembea kifua mbele Kwani kwenye hii special military operation Kuna mafanikio mengi yamepatikana.
NB: Matendo dhidi maneno.
Russia
Ukraine