OK sawa ,, maana nakuona kila siku weee nifuraha tuuu duuu ,,unionyeshe siku moja siri yakua nafuraha.Hahahahaa si kweli, nakutana nazo sanaa, sema huwa siziweki kumbukumbu maana sipendi huzuni..... nazifahamu haraka ila furaha na mautamu ntayakumbuka mwaka mzima.
the guy must have been so gud at what he was doing to leave you an impression. By the way love the song, kinda takes me back in time.
[emoji122][emoji122][emoji122]Hahahahaa si kweli, nakutana nazo sanaa, sema huwa siziweki kumbukumbu maana sipendi huzuni..... nazifahamu haraka ila furaha na mautamu ntayakumbuka mwaka mzima.
OK sawa ,, maana nakuona kila siku weee nifuraha tuuu duuu ,,unionyeshe siku moja siri yakua nafuraha.
Kasie inamaana na wewe nyuma uko hivi?OK..... tizama hiyo hapo chini. ... inafanania na hiyo kwa asilimia 90.
View attachment 683544
Kasie Mahaba.
Asante ,yaaan Happiness lazima iwe from within Us !!!Hahahahhahahahaaa Kasie is happy always.... Most of time..... she likes smiling.... The smile only gives her happiness.
I think it's more of being inborn happy than show how to be happy, if happiness is not deep in you, you can't have it.
Asante ,yaaan Happiness lazima iwe from within Us !!!
cjui hata....labda kampuni mkuu
I can see it !! Wakat Fulani its more healthy kujijengea mazingira ya Furaha any time , hii inakupa nguvu yafaida sana ,pale unapokutana na Huzuni.Yeah .... ila hiyo ni kwa Kasie maana yaweza tusifanane. Mie happiness starts from within, and not brought or taken by anybody. Pengine wengine happiness ni hadi wawe na fulani au wapate kitu flani.... wakikikosa ni stress na ndita hahahahhaa nashukuru mie sikuzaliwa hivo.....
Most of time I smile except to strangers, and I love the act of being happy. That's Kasie.
aise...nimekuelewaHahahahahhaa hapana, hao ni marafiki wa nanii yake Kasie aka mtu wangu wa nguvu. Ana marafiki zake a Nawapenda sana, hivo kika akitoka huwa anawapelekea zawadi, siku hiyo aliwapelekea Biriani na pact ya chocolate za snickers. Mmoja wa hao marafiki jina lake linaanziwa na Jo na yuko na wenzake kama 3 hivi, hivo huwa nawaita Jo & Co.