wandesha pikipiki wengi ni wale wanaojifunza usiku then asubuhi wanaingia barabarani, wengi wao hawana lesen na wala hawajui sheria za barabarani, umakini unahitajika sana kwa sisi abiria ili kunusuru maisha yetu.
mimi siwatetei waendesha pikipiki lakini pia madereva wa mabasi makubwa hasa ya aboud ni wakorofi kupita kiasi! yaani wakiwa barabarani wanajiona wao ndo wenye haki ya kutumia barabara. Nimewahi kusikia kuwa mmiliki alikuwa ana wagawia ''bahasha''askari police wote wa Moro kila mwisho wa mwezi. waishio moro na wanaofahamu kuhusu hii skendo wanaweza kutujuza zaidi.