Kama Magufuli ameuweza urais,hivi Kuna mtanzania mwingine anaweza akaushindwa?Urais siyo sawa na kugombea kuwa Mzee wa Kanisa!
Maendeleo hayana vyama!
😂😂😂aiseee!Kama Magufuli ameuweza urais,hivi Kuna mtanzania mwingine anaweza akaushindwa?
Mbatia ni toilet paper tu kama hao raia wengineMbatia amefia wapi? au ameachwa kwenye mataa na maccm kama yalivyomfanya Lipumba?
Mbowe ni pad za wakina mama.Mbatia ni toilet paper tu kama hao raia wengine
Kwa comment hii lazima utakuwa mtu mwenye akili sanaKama Magufuli ameuweza urais,hivi Kuna mtanzania mwingine anaweza akaushindwa?
Mtu mmoja mtaratibu Sana!Binafsi namfahamu huyu Jamaa. Ni mdau mkubwa wa football. Anafaa kwa Urais ila system za nchi hii sidhani kama atapita.
Kafie mbaliiiiiiiMbowe ni pad za wakina mama.
Tanzania ingepiga hatua kubwa Sana kimaendeleo kama ingepata watu 100 tu wenye akili kama wewe.Kama Magufuli ameuweza urais,hivi Kuna mtanzania mwingine anaweza akaushindwa?
Tatizo hii sentensi ni ya dhihaka dhidi ya WatanzaniaTanzania ingepiga hatua kubwa Sana kimaendeleo kama ingepata watu 100 tu wenye akili kama wewe.
Siyo dhihaka ndiyo walivyo watanzaniaTatizo hii sentensi ni ya dhihaka dhidi ya Watanzania