Kwa sasa nafundisha mahali(st.Flani hivi ipo Moshi),fimbo ni kawaida. Huku sheria za shule mia kidogo,sasa mimi kama mlezi nimemkamata mwanafunzi ametoka tu nje,na kukojoa mlangoni badala ya kufika chooni,nimfanye nini ili siku nyingine asirudie?
Je,nimpeleke kwenye sheria za shule ili afukuzwe?
Je,leo hii nimemkamata mwanafunzi na vyakula binafsi ambavyo haviruhusiwi shule nimfanyaje huyo mwanafunzi?
Jamani mimi mwenyewe nilisoma shule za sekondari ambazo hazichapi lakini,form 1 una wastani wa 50 unakusubiri mwisho wa mwaka,form two 41,na form three una wastani wa 55. Ukifanya kosa,unaweza pewa magogo 50 upasue ama upelekwe shambani ukalime,ama ufukuzwe shule.Sasa wapi afadhali? Mtoa mada,ungekuwa unaakili na nia ya kutetea haki ,ungeshinikiza uchapaji wa kipimo,bila kumwumiza mtoto,bali apate fundisho ili siku nyingine asirudie.