Zile kokoto na changarawe ni hatari sana....hivi tunashindwa kuweka 5kms tu za lami ya run way kweli kila mkoa?tunaweza nini?kufungasha misafara mirefu kwenda ulaya kupewa suti??
Kwa wanaojua, implication ya statement ya FJM hapo juu ni kubwa sana.
Maana ya FJM ni kwamba kupasuka kwa matairi ya hiyo ndege kumesababishwa na hali ya runway, ambapo kuna hatari ya kufunga kiwanja hicho hadi hapo kitakaporekebishwa. Lakini pia hasara iliyopatikana leo kwa tukio hil inaweza kuwa shifted kwa mmiliki wa kiwanja hicho.
Tusubiri INvestigation za kitaalam zitakazofanyika na uzuri sababu zitawekwa wazi.
Zile kokoto na changarawe ni hatari sana....hivi tunashindwa kuweka 5kms tu za lami ya run way kweli kila mkoa?tunaweza nini?kufungasha misafara mirefu kwenda ulaya kupewa suti??
Wala siyo 5km! Kiwanja cha ndege chenye runway ndefu kuliko vyote nchini ni KIA, ambapo ni hiyo 5km, na haitumiki wholly. Kiwanja cha Kigoma kinahitaji km 2 tu za ruway ya lami.