Abiria wa daladala mkoani arusha kuweni makini...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiria wa daladala mkoani arusha kuweni makini...!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jul 27, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuanzia sasa abiria anayeshushwa sehemu isiyo na kituo rasmi atakamatwa na askari wa usalama barabarani na kuwajibishwa,adhabu haitakuwa kwa kondakta au dereva wa daladala(kifodi)
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  hii imekujajekujaje?......mbona ghafla namna hii.......
   
 3. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 730
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ule mgomo unahusu makonda kupigwa faini kupita kiasi.
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sasa hapa Uda.....ukiangalia abiria yeye anahusika vipi?.......kwa nini wasisisitize kuwepo vituo then huyo mshushwaji na mshushaji wakikaidi amri ndio waadhibiwe?......njia kuu iliyokuwa na mgogoro ni njia ya kutoka mjini kwenda Mbauda na Majengo.....na ukiangalia kweli njia hii haina sehemu za kushushia abiria.......sijui wanataka watu wafanyeje
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Duh!? Hii kali! Kwahiyo maneno kama msaada kwenye tuta, kwa mama nairo, chini ya mparachichi yatatoweka kabisa!
   
 6. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  wapange utaratibu mzima wa vituo ndio adhabu zinawezatumika
   
 7. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Sasa kama ndio hivyo, abiria wa sanawari, ungaltd, sombetini wote wataishia jela!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  sanawari kuna kituo rasmi!
   
 9. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  He hii kali kama naenda kushuka kwa Mrombo kumbe nishukie wapi?
   
 10. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  ndio muafaka huo!labda abiri waanzishe mgomo wao.
   
Loading...