Hizi gari mnazisingizia tu. Zipo juu, bodi ni ngumu, ziko stable sana barabarani! Kuna jamaa yangu yuko Kijijini ana hii gari mwaka wa 5 sasa! Tena ina usajili wa B..!!
Sema tu hazitaki ubabaishaji kwenye mafuta, service yake, na pia mafundi uchwara.
Haya sasa ndiyo magari ya kununua sisi wanyonge kwenye hii awamu ya 6! Hapa hata mafisadi wapandishe vipi bei ya mafuta, sisi tunateleza tu kama kambale.