Mkuu,nyama hazitoshi.Ungesema kitu kuhusu milleage ,piga picha injini ya gari,kadi ya gari,ndani ya gari ,utuambie unapatikana wapi?, ikiwezekana weka mawasiliano.
Punguza mashauzi mtoto wa kiume
Unahangaika na watu wasiohangaika nawe.
Hilo deni alienunua gari angemalizana na mmiliki..shida yako nini?
Sina I'd nyingine na uache kumzushia huyo usiemjua
Naona una hamu nikujibu...chukua airtime
Sitajibizana nawe tena kamwe..usiatarajie!
.
Bweka ukimaliza kalale!