CVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
CVR Mil 9? Gari ambayo naamini ulinunua mil 11 hadi 12 miaka zaidi ya kumi nyuma uuze leo mil 9. Anyways, nisikukatishe tamaa, unaweza bahatisha wasukuma
Bei ya gari unaangalia ilisajiliwa lini au uimara wake?
Je kama imetembea km 40,000 tu?
Je kama ameweka engine mpya?
Jirani yangu mmoja ana Nissan patrol no. DTF imechoka vibaya, Ina makelele na huwa anaitengeneza kwenye gereji ya ovyo. Boss wangu wa zamani anayo Nissan no. ASS ni nzima Sana, Ina nguvu Ina mwonekano bomba.