Abella Bateyunga: Tumia JamiiCheck kupata msaada wa kuthibitisha taarifa

Abella Bateyunga: Tumia JamiiCheck kupata msaada wa kuthibitisha taarifa

JamiiCheck

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
213
Reaction score
226
Unapohitaji msaada wa kuthibitisha Taarifa tembelea JamiiCheck.com kama anavyosisitiza Abella Bateyunga, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Bora Initiative, ili kupata Taarifa sahihi na kwa wakati.

 
Kwa Mtaji huu huu tunaomba mtuchunguzie clips za Madowo alizotumia kuandaa taarifa aliyoituma CNN juu ya kilichotokea Oktoba 29 na kuendelea tujue kama ni clips za AI au halisi.
 
Je samia ni muuaji au sio muuaji, mkijibu hii ntawaamini kuwa nyie sio wanafiki ila mkikimbia swali bc nyie ni wanafiki wakutupwa.
 
Kwa sasa itatumika kwa hisani ya VPN maana ipo kifungoni.
 
Hamna kitu hao, niliwatumia mjengeo wa mochwari wathibitishe taarifa ya muliro kuwa ni AI, WAKAIMINYIA MADA MPAKA LEO SIJAIONA....
 
Wao wanachofanya ni uthibitisho tu wa kupiga simu.

Waajiri vijana wataalam kufanya verification kitaalam zaidi.
 
Tuliwaomba mverify zile videos za mortuary kama ni za kweli hadi leo jiiii
 
Back
Top Bottom