Kutokana na kutotulia kwa mabinti na kutaka maisha ya gharama yasiyoendana na kipato cha mme na pressure ya kugharamia mke wengi wa wanaume wanapenda angalau apate ujauzito ndo aoe ili hata kama atashughulishwa angalau awe na mtoto. Wanajamvi mnasemaje?
Mwanaume haogopi nyau ukiona anaogopa maisha huyo ni mwanamke na siyo mwanaume , mwanaume ni kupambana siku zote
Ukuamua kuoa hata kama unalala chini oa tu endelea kupambana
Mwanaume haogopi nyau ukiona anaogopa maisha huyo ni mwanamke na siyo mwanaume , mwanaume ni kupambana siku zote
Ukuamua kuoa hata kama unalala chini oa tu endelea kupambana