murra wa marwa
Senior Member
- Apr 24, 2008
- 150
- 2
View attachment 1479
Lakini tusisahau kwamba Kinana nae ni mtu mzito.
Mnaona hata hapa wenzie wanaangalia ajenda za mkutano, yeye ana-revise katiba!
Mambo mengi kuhusu CCM na nchi kwa ujumla yamo ndani ya mkoba wake na huwa hachezi nao mbali.
Kwenye biashara, kila unapomkuta Sir Andy Chande basi nae Kinana yupo! hawa ni washikaji sana kibiashara, na mara nyingi wako kwenye Bodi za serikali pamoja!
naweza kuwa.... "na twaluwunju"
au mngoni .... "za kuyimuka dadi.. kwabwina huko, karibu mgati humu"
Warya Kinana amechelewa kujitetea....Kila kitu kipo wazi,atajificha wapi wakimueleza kuwa wanawafahamu hata wale vijana wa Ngaramtoni wanaowatuma kuwinda hao Wanyama?Ugomvi hapa sio nani mmiliki wa SSA bali mzigo unaosafirishwa na SSA ni wa nani?......Bado Tanzania tuna safari ndefu hawa viongozi wetu ndio wanaofanya kila uovu.Kinana si Mmiliki tu wa Sharaf pia ndiye mtu ambaye anahusika na hizo Nyara zilizokatwa Singapore!

Kinana, moja wa watu watatu wenye busara (wengine wakiwa Mwinyi na Msekwa) ambao wamepewa jukumu la kupatanisha makundi ndani ya CCM - nani atamgusa ? Hivi humo ndani ya CCM hakuna hata moja asiye FISADI ? Kaazi kweli kweli !
Yupo mkuu. Anaitwa Kingunge Ngombale Mwiru.