Kwani Mzanzibari anaweza kugombea ubunge Tanganyika? Tayari hela wa walipa kodi zinawalipa mishahara na posho wabunge wa Bunge la JMT ambao wanatoka nchi ya Zanzibar (kila mmoja akiwakilisha mtaa) kwa kuja tu kukaa Dodoma na kuleta ushabiki usiokuwa na manufaa kwa watanganyika na bado wanataka wachukue majimbo yetu? Hii ni kutukaba koo. UKAWA fanya kitu hapo.
..kuna gazeti la Observer la Uganda ndiyo waliandika kuwa wabunge wanawake wa Uganda walikuwa wakimgombea Mh.Mwinyi.
cc Remote, Mzito Kabwela
Watoto wa Kiganda ni visu vya hatari! Hata Pasco anavijua. Wengi wapo natural, miili ya kiafrika wamejazia yale maeneo yetu yaleeee, nywele zao hazina madikodiko na wanaweza mambo! Kama wamemgombania basi ni bahati yake..kuna gazeti la Observer la Uganda ndiyo waliandika kuwa wabunge wanawake wa Uganda walikuwa wakimgombea Mh.Mwinyi. cc Remote, Mzito Kabwela
Katerero watoto wa Kampala hawaijui. Wao siku hizi ni mahodari wa 'kuzungukia uani'Looh salaleh! huyo Mh. Mwinyi alijuaje katerero wakati yeye sio mtu wa huko!? Kiasi kwamba anagombaniwa na wabunge wanawake wa Uganda.Maana wanawake wa Kiganda wanapenda sana katerero!
Mwinyi na watoto wake sio wazanzibari.
Kuwa rais baba ake kule zanzibar ni sawa na Ian smith kuwa waziri mkuu wa Zimbabwe.
Mpemba aliekaa bongo miaka 50 bado anahesabiwa Mzanzibar na sio Mtanganyika.
Hivyo huyo abdul ni mbongo kuliko wewe.
Kwenye red: Mtoto wake Hussein Mwinyi aliwezaje kugombea ubunge Zanzibar? Au Mtanganyika anaruhusiwa kugombea ubungo Zanzibar?
Hawa wznz hataki muungano, hivi wanakuwaje na uchungu na eneo ambalo wao hawalipendi?
Hivi mzanzibar anajuaje matatizo ya Kigamboni asikoishi?
Hawa wanatuita sisi nchi jirani, kwanza ni lazima wapate work permit na wasishiriki shughuli za kisiasa za Tanganyika.
Wana nchi na serikali yao, haya ya Tanganyika watuachie wenyewe.
Atakuwa anajisumbua na kupoteza fedha zake bure!, Dr. Ndungulile amewekeza kwa watu!, tena namsisitizia Dr. Ndungulile, Kigamboni ni yako!, CCM wakiufanya ujinga wa wakuleta zengwe la kukuengua, just cross the border, uendelee kuwatumikia watu wako!.Mtoto wa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi aitwae Abdul Mwinyi ametangaza kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni.
Mtu wake wa karibu amesema kijana ameshajiweka vizuri na chama chetu kinampigia chapuo ili kumuondoa Mbunge wa sasa.
Wiki ijayo kuna kikao cha marafiki wa mzee mwinyi ambacho ni maalumu kwaajili ya kumsaidia mtoto wao Abdul ili ashinde ubumge Kigamboni.
Mtoto wa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi aitwae Abdul Mwinyi ametangaza kuwania Ubunge jimbo la Kigamboni.
Mtu wake wa karibu amesema kijana ameshajiweka vizuri na chama chetu kinampigia chapuo ili kumuondoa Mbunge wa sasa.
Wiki ijayo kuna kikao cha marafiki wa mzee mwinyi ambacho ni maalumu kwaajili ya kumsaidia mtoto wao Abdul ili ashinde ubumge Kigamboni.
Hayo makitu yanawahusu wanawake wa eneo lote linaloitwa 'Inter Lucustrine Kingdoms' zilizuhusisha Bachwezi, Bunyoro-Kitala, Baganda, Nyankole, Toro, Karagwe, Bahima, Abakama, Abairu, etc, wanawake wao wote ni jamii moja. Kwa huku Tanzania tumebakiwa na Wahaya na Wahangaza, Rwanda wana Wanyarwanda, Watutsi, Uganda wana Baganda, Wanyankole na Watoro!.Watoto wa Kiganda ni visu vya hatari! Hata Pasco anavijua. Wengi wapo natural, miili ya kiafrika wamejazia yale maeneo yetu yaleeee, nywele zao hazina madikodiko na wanaweza mambo! Kama wamemgombania basi ni bahati yake
Border pekee kwa Faustine ni Chadema. Kule kwa mshindi wa tatu hawezi kupata nafasi kwa sababu wana vigezo vigumu mithili ya kigezo kilichong'oa Sitta uspika. Na Chadema wamesha declare mapema kuwa hawataki makapi. Anza kumpa pole Faustine na kama anaweza aanze training za ujasiriamaliAtakuwa anajisumbua na kupoteza fedha zake bure!, Dr. Ndungulile amewekeza kwa watu!, tena namsisitizia Dr. Ndungulile, Kigamboni ni yako!, CCM wakiufanya ujinga wa wakuleta zengwe la kukuengua, just cross the border, uendelee kuwatumikia watu wako!.
Pasco
Kikao cha Ndungulile anatoa elfu 5 wakati vikao vya mwinyi ni sh 50,000.
Mwinyi amejipanga sana,Zile chupa za Chai walizopewa kama zawadi zitamuondoa Mb.
siasa za namna hii sizishabikii sana.
Border pekee kwa Faustine ni Chadema. Kule kwa mshindi wa tatu hawezi kupata nafasi kwa sababu wana vigezo vigumu mithili ya kigezo kilichong'oa Sitta uspika. Na Chadema wamesha declare mapema kuwa hawataki makapi. Anza kumpa pole Faustine na kama anaweza aanze training za ujasiriamali
Nani amekwambia mwinyi ni mzanzibari hivi hua mnaandika mkiwa chooni au ndio shule za fm akademia
siasa za namna hii sizishabikii sana.
Kwa ulichoandika hapa Ni Dhahiri hata Mzee Mwinyi Humtambui.Nani amekwambia mwinyi ni mzanzibari hivi hua mnaandika mkiwa chooni au ndio shule za fm akademia
Huyu ni CCM maslah Ndugu mpuuze tu!Unakosa sifa ya kuwa mwana CCM
Looh salaleh! huyo Mh. Mwinyi alijuaje katerero wakati yeye sio mtu wa huko!? Kiasi kwamba anagombaniwa na wabunge wanawake wa Uganda.
Maana wanawake wa Kiganda wanapenda sana katerero!