Abdul Kambaya: Kiongozi mwenye future katika siasa

Abdul Kambaya: Kiongozi mwenye future katika siasa

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
Wadau habari za maumivu na furaha baada ya mchakato wa kufyekana ndani ya ccm kukamilika.

Tumezoe kuona wanasiasa wengi hasa vijana wakiibuka kutokana na kupiga siasa kishabiki au kuguata upepo au matukio.

Angalia vijana kama zitto,Mwigulu,Machali,Makonda,Nape na Jussa.

Bila kujali vyama wanavyotoka ni ukweli usiopingika kuwa vijana aina niliowataja hapo juu wanategemea mihemuko ya kisiasa ya viongozi au washabiki wao.Mara nyingi vijana hawa hufifia katika siasa pale matukio na matamko yanapokosa mvuto kwenye jamii.Hawana consistency au agenda wanazozisimamia.

Nometokea kumuona mara chache ndugu Abdul Kambaya na kumsikia mara chache ...bila shaka ni kijana asiye na papara na ninaamini ni mmoja wa strategists hatari ndani ya CUF.Pengine hata viongozi wakubwa ndani ya CUF wamekuwa wakitumia ushauri wake vilivyo.

Namuona kuwa no kijana pontential kwenye uongozi wa nchi hii hapo baadae.

Kwa anayeifahamu cv yake kwa undani atuwekee.
 
Mi sijawahi hata kumsikia, who is he exactly?
 
Nilimskia kwenye mkutano wa hadhara Mwanza kijana ni mzuri nimependa sana hii system ya CUF ya ku develop future leaders
 
Weka picha
 

Attachments

  • 1436810135754.jpg
    1436810135754.jpg
    7.5 KB · Views: 899
Nimekuwa najiuliza jamaa mbona hana jimbo? Maana nimehudhuria mikutano yake mitatu ya maana mwanza,mwembe yanga,na temeke jamaaa yuko vizuri akiingia bungen nikama mnyika
 
Abdul Kambaya kwa mara ya kwanza nilikutana naye kwenye Mdahalo wa katiba mpya pale ubungo plazza, tulibadilisha mawazo sana nilimpenda sana mpaka nikamuonea wivu jinsi ambavyo anauwezo mkubwa katika kujenga hoja. Hii ni azina kubwa kwa CUF na Taifa kwa ujumla. Natamani mwaka huu nimuone mjengoni Dodoma hakika ni kama Mnyika namtakia kila la heri.
 
Huyo CHADEMA wameshindwa kumtumia...

Ila Lipumba na Mtatiro wote wanatumika na CHADEMA ila hawajuani


Ethos
 
Anachonifurahisha ameiga mpaka kigugumizi cha Lipumba, I think is his inspiration
 
..nimependa sana hii system ya CUF ya ku develop future leaders

How do you develop future leaders huku umekalia uenyekiti nonstop kwa miaka 24 na bado unataka uwe wewe tuuu mpaka siku ukiaga dunia?
 
Back
Top Bottom