SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.
Sent from my iPad using JamiiForums
Miongoni mwa watu wapumbavu huyu bwana ni miongoni mwao!!mara nyingi kauli zake uwa ni za ajabu!!Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani. kwa sababu alikuwa na maisha magumu Mhe Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani. kwa sababu alikuwa na maisha magumu Mhe Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.