johjo Member Joined Jul 2, 2015 Posts 15 Reaction score 0 Jul 5, 2015 #21 mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... Hahahahhahahah nimecheka mpaka ...
mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... Hahahahhahahah nimecheka mpaka ...
M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,551 Jul 5, 2015 #22 Frank Gotora said: Mkuu hiyo inamaanisha kuwa watu wapo aware na kila kitu hapa nchini! Click to expand... kwenye ulimwengu huu wa twitter, face book na instagram mambo yetu yako hadharani kuliko tunavyojua.
Frank Gotora said: Mkuu hiyo inamaanisha kuwa watu wapo aware na kila kitu hapa nchini! Click to expand... kwenye ulimwengu huu wa twitter, face book na instagram mambo yetu yako hadharani kuliko tunavyojua.
as1987 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2013 Posts 1,256 Reaction score 598 Jul 6, 2015 #23 mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... unamchanganya (Abby )Abby Plaatjes na Lotus Lyamba, Abby hana mwanya
mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... unamchanganya (Abby )Abby Plaatjes na Lotus Lyamba, Abby hana mwanya
Sergeant Stonebridge JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 573 Reaction score 5,014 Jul 6, 2015 Thread starter #24 Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno
Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno
C CREOLE JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 563 Reaction score 336 Jul 6, 2015 #25 Frank Gotora said: Mkuu mbona hana mwanya? Click to expand... Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus
Frank Gotora said: Mkuu mbona hana mwanya? Click to expand... Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus
yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Jul 6, 2015 #26 mbona jamaa wake ni black na ni rasta....nilikutananao mliman city???.....
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,382 Jul 8, 2015 #27 mwasu said: Yuko Dar ameolewa ana watoto wawili sasa, zile fujo za big brother zilikuwa nyege tu, sasa ni mke mwema na mama bora wa familia. Anapatikana kwa jina la Abby Plaatjes, mfuate huko mkuu. Click to expand... Walishaachana na yule baharia mmiliki wa Mediterrano kule kawe, sasa yupo choice fm anatangaza
mwasu said: Yuko Dar ameolewa ana watoto wawili sasa, zile fujo za big brother zilikuwa nyege tu, sasa ni mke mwema na mama bora wa familia. Anapatikana kwa jina la Abby Plaatjes, mfuate huko mkuu. Click to expand... Walishaachana na yule baharia mmiliki wa Mediterrano kule kawe, sasa yupo choice fm anatangaza
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 8, 2015 #28 Frank Gotora said: Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno Click to expand... Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani.
Frank Gotora said: Hata mimi baada ya kusikia ile kauli ilibidi niingie kuona picha zake coz ni muda mrefu nikahisi huenda yule muitaliano aling'oa meno Click to expand... Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani.
Sergeant Stonebridge JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 573 Reaction score 5,014 Jul 8, 2015 Thread starter #29 shululu said: Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani. Click to expand... Ila Abby ni anavutia! Huyo jamaa yeye simfahamu! ni mweusi tiiiii ama?
shululu said: Muitaliano anaitwa Samanta,ndiye mmiliki wa m,telano na Run way club iliyopo maeneo ya shopaz plaza msasani. Click to expand... Ila Abby ni anavutia! Huyo jamaa yeye simfahamu! ni mweusi tiiiii ama?
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,347 Reaction score 88,525 Jul 8, 2015 #30 Gaitano long tym sana na mwisho bba .
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Jul 8, 2015 #31 CREOLE said: Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus Click to expand... Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi akajisepesha mazima
CREOLE said: Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus Click to expand... Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi akajisepesha mazima
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Jul 8, 2015 #32 CREOLE said: Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus Click to expand... Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi kipindi hicho hicho cha nirvana tena kabla ya lotus na Deo ila alijisepesha mazima
CREOLE said: Ameingia chaka akamfananisha na yule aliyemzaba mwenzake kibao akatilewa BBA, Lotus Click to expand... Hata Abby alifanya kazi EATV kwa muda mfupi kipindi hicho hicho cha nirvana tena kabla ya lotus na Deo ila alijisepesha mazima
R ridculouz JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 910 Reaction score 504 Jul 8, 2015 #33 samahani sijamalizia... Ila mzuri huyu dada sijui kwa nin hawa viumbe ndoa zao hazidumu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jul 9, 2015 #34 Frank Gotora said: Ila Abby ni anavutia! Huyo jamaa yeye simfahamu! ni mweusi tiiiii ama? Click to expand... Ni mweupe,ila amechanganya wazazi kati msomali na itali,mama ni muitaliano
Frank Gotora said: Ila Abby ni anavutia! Huyo jamaa yeye simfahamu! ni mweusi tiiiii ama? Click to expand... Ni mweupe,ila amechanganya wazazi kati msomali na itali,mama ni muitaliano
KIJOME JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 3,084 Reaction score 733 Jul 10, 2015 #35 Katoto Abby ila tuache masikhara ni katamu balaa!!!
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,751 Jul 10, 2015 #36 mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... Mwanya upi wa juu au...?
mwanga lutila said: Na Mwanya wake utafikiri geti la Bungeni. Click to expand... Mwanya upi wa juu au...?