Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Mtoto wa mstaafu Marehemu Ali Hassan Mwinyi, Abbas Mwinyi ambae ni Kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Mwinyi Leo Septemba 25 amefariki Dunia akiwa Hospitali ya Lumumba Mjini Unguja.
Abbas Mwinyi ni Mtoto wa Mstaafu Marehemu Mzee Mwinyi ambae kabla ya umauti wake alikua msemaji wa Familia mara baada ya kifo cha Baba yao.
Abbas Ali Hassan Mwinyi alikuwa mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Fuoni kwa miaka 2015 – 2025. Abbas alikuwa msomi, rubani wa ndege na nahodha wa meli. Marehemu alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Fuoni kupitia CCM na aliwahi pia kuwa Mbunge wa jimbo hilo kabla.
Updates (Mazishi September 26, 2025)