Itakuwaja save bora ya msimu angali bado msimu haujaisha?
Ina maana hakuna uwezekano wa kutokea saves nyingine bora zaidi ya hiyo katika mechi zinazoendelea?
Yangetumika maneno mengine labda save ya wiki, lakini kusema ni ya msimu hata kama inasemekana si sahihi!