Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
Vuvuzela Matata hiyo ni swahili ya Kongo au?..kuna maneno yamenimix!..Una bidii si kidogo,kudoz..
Belinda.. kwa kweli sijui miye..!
Hahahahahahah umenichekesha kweli hapo kwenye bold....Vuvuzela imeshanda chati nasikia Jabulani pia inapanda chati taratibu. Ni mtu ambaye hana msimamo akikwambia kitu chake basi usishangae kesho akabadilisha kabisa alichokwambia. Vipi yule alikuahidi hivyo? unamuamini kweli? Achana naye yule Jabulani tu! lol!
Asante kwa raha unayotupatiye..ila nyonda nyonda'angu ndiye nini?
.nimeshamsave mtu kwenye simu Vuvuzela mana anaongea huyo nabaki kusema okay,yeah,mhh na bye!..!!!
yani kweli tumepata misemo mipya..mpaka WC ziishe hiyo vuvu&jabu tayari vimejulikana sana na pia kwa maanda zetu nyingine..nimeshamsave mtu kwenye simu Vuvuzela mana anaongea huyo nabaki kusema okay,yeah,mhh na bye!.. job true true BAK!!!
Enjoy hilo shairi man mie kuna maneno bado nayatafakari!!!!

nimecheka hadi masikio yanauma! yaani ukiwa mahali usije kuisahaku hiyo simu maana mtu anaona inapiga halafu jina linaonesha "Vuvuzela". Halafu bora asiwe ndiyo shosti wako maana akijua!!
Ngoja nikusave wewe kama Vuvuzela.....lol
Lol....I hope hakuna aliyenisave mimi kama hivyo.....
Nimsaidie kujibu..........Nyonda nyonda'angu......... ni mwanamwali au my sweetheart..............Asante kwa raha unayotupatiye..ila nyonda nyonda'angu ndiye nini?