Aaah!uwaga na jiuliza tu...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
wakuu niaje,ni mara nyingi nimeona wapenzi wengi iwe mke au mme,katika walet zao utakuta kuna picha ya wapendwa wao iwe mke/mume au mchumba,ivi ndo kwamba wanawapenda sana au?na kama wewe mke wako au mchumba wako au wewe mwenyewe huna picha ya mtu wako kwenye walet au simu yako umeweka picha ya bionce,rihana,chris brown na wengineo je nikwamba una wa admire zaidi kuliko mtu wako au?
 
utasikia weka picha yangu km sikirini seva kwenye simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…