Hataki wapi??? Anaogopa kemela, hujaona vizuri mpaka chini (scoll down) uone mikono ya Bidada imeshika sehemu gani ndio utajua hata simba jike ni mkali zaidi kuliko dume lakini huzaa.
Hivi Mdee Huzioni Salon Mbunge wetu? Jamani! unatuangusha! Nenda kafanye Make up kidogo!!
Na najua ukienda mala mbili tu utarudishiwa ngozi ya Utotoni na utakuwa Chuma mala elfu.(Tutakutaka!!)