Samahani wajumbe ila naulizia kama mtu anafahamu sehemu wanapouza A4 T-SHIRT PRINTER na ntafurahi nkijua bei na eneo wanalouza na kama ntapata na namba ya simu then ntashukuru zaid
A4 tshirt printer ni zile za erectronics tshirt plinter full tone au ni nini sijakusoma pamoja me hapa offisini kwetu tunafanya kazi hizo kwa muda wa miaka kama mitano lakini sijawai kusikia A4...
Yea ni zile za electronics na ni digital katika printing na unaconnect dat printer na computer then unaprint na hii nimechek katika Demo zao,Je unafahamu mashine kama hiyo inapouzwa huku Dar?