omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,444
- 2,703
kwa wale waliofuatilia mchakato wa tenda za TANESCo na jinsi Mh. Zitto Kabwe alivyosimamia sheruia ya manunuzi na Katibu mkuu Maswi alivyoamua kiuachana na masuala ya 'michakato then kutoa tender kwa PUMA Petroleum.
Hizi series za katuni za Mtanzania mwenzetu zinaweza kutusaidia kujua sehemu za hii "michakato" ili kijua kama kuna haja ya kufanya mambo kidikteta au kufuata sheria zisizofuatika!
Hizi series za katuni za Mtanzania mwenzetu zinaweza kutusaidia kujua sehemu za hii "michakato" ili kijua kama kuna haja ya kufanya mambo kidikteta au kufuata sheria zisizofuatika!
