A young woman threatened a demo and the tough boys overreacted to a non-event

Eti jenerali, jenerali wa magazetini, hovyo kweli, nilimdharau alipokubali kula mlungula wa mzee Lowassa kisha kumpigia debe akitegemea atapata uwaziri, wakadundia pua maamake
Nasikia Mange alitetemesha kinyeo chako pia
 
Huyu ULIMWENGU ni waajabu kweli...Hivi kwa mfano SERIKALI ISINGECHUKUA TAHADHALI KWENYE HUU UJINGA WA KIMAMBI then maauji au UHALIBIFU wa mali ukajatokea......ANGEANDIKA VIPI ANDIKO LAKE????bila shaka kwa asilimia kubwa wangekuja na andiko la KUILAUMU SERIKALI KWANINI HAIKUCHUKUA TAHADHALI.....
Ni mara mia SERIKALI IMECHUKUA TAHADHALI and we are safe now.......
NYIE ANDIKENI MAANDIKO YENU YA AJABU ZA KILA AINA MNAZOJUA NYIE......ALL IN ALL TUPO SALAMA...
Afu swali la msingi kwake,kupitia andiko lake hili moja kwa moja inaonyesha ni miongoni mwa watu waliokuwa wanasapoti huu UJINGA WA KIMAMBI...sasa atuambie yeye ALIFANYA NINI HIYO SIKU HUSIKA YA MAANDAMANO maana hatukumuona barabarani na BANGO?????hatutaki UNAFIKI HAPA
Just what I expected, a simple mind that has no idea whatsoever what the article is all about! KIBST, whether you admit it or not, on April 26th, 2018, the blood-thirsty, heavily armed and ready-to-kill members of the Tanzania police saw a mirage and, as the whole world watched in disbelief, chased it.

At the end of the day, they crawled back into their shells tired and disappointed their thirst unquenched for the slight 45 kg young woman had out-maneuvered them and sent them on a wild goose chase. According to KIBST, the confusticated and stupid drama witnessed on our streets has kept us safe, wow!
 
Juhudi za raisi Magufuli za kushikilia hapo hapo zimeanza kuzaa matunda.
 
wewe acha UCHIZI...hivi SERIKALI INAWEZA VIPI KUKAA KIMYA KUHUSU MAANDAMANO YA UHAINI???..yaani mkavamie IKULU afu serikali INAWAANGALIA TU...Ebu anzeni kuandamana HAPO UFIPA KUSHINIKIZA MBOWE ATOKE MADARAKANI
Wewe hovyo kweli..
 
Back
Top Bottom